Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,765
- 126,685
Pole sana, Mungu aepushe hilo.Shetan ana majarbu yan naanza kuumwa halaf nna pepa jpiliš„². Ee Mungu naomba unisimamie,maombi yenyu wadau.
Endelea na maandalizi, Mungu hawezi kumtupa mja wake.
Pia ufanye follow up ya Afya mapema