HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ngoja nikae macho[emoji23], anyways simuogop mtu yyte ila kuna sababu inanifanya nisiipende hiyo kazi, though nkipata nafanya tu kuukimbia ujobless[emoji3062][emoji3062]
Ukiipata kwenye hiyo position kakusanye mtaji undeleze goli lako, mambo yakitiki, kula kona(acha kazi).

Na hizi nafasi kwa OSG hukuomba pia?
 
"Selected for" ya kijani kwenye app. na "selected" ya kijani kwenye web inadalili gani?
 
Back
Top Bottom