Hii situation ndo ilimtokea yule ndugu wangu wa NARCO niliileta humu kipindi flani.
Jina la mtu lilitokea kwenye pdf nafasi ya NARCO (alitokea database) pia likatokea TRA (Nahisi alifanya interview), hivyo huyo mtu akaenda TRA, utumishi wakamreplace huyo mtu na ndugu yangu (from database)
Sasa kilichotokea ni kwamba, ndugu yangu hakuona tena jina lake kwenye PDF wala hawakumpigia simu ila walituma barua moja kwa moja kwenye S.L.P la ndugu yetu mwingine wa mbali (Tunajaza hizi anuwani kukamilisha ratiba)
Barua ya April amekuja kuiona December (Too late)