HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚ Dahh mkuu kwenda kupiga kazi kijijini sio poa asee, lazima uwaze kidogo
Sasa mkuu uliombaje kazi za Chaka hizo.. Ungeipotezea now ingekuwa umerelax unasubiria shortlisted ya TPDC ukawapelekee moto kule utumishi.. Wenzio kazi zisizoeleweka wanazipotezea then wanasubiria panaponoga Ila hii ni kwa watu wasio na shida na hela ya kula😁
 
Mkuu jobless Huwa hatuchagui kazi sisi tukiqualify tu tunaomba issue za location hizo ni mambo za baadaye.
 
Back
Top Bottom