ABIUD SIMTALLA
Member
- Oct 4, 2022
- 59
- 199
Taasis gani?Pdf ya placement imetoka, taasisi yangu sijui pdf limeliwa na virus?!!!
Taasis gani?Pdf ya placement imetoka, taasisi yangu sijui pdf limeliwa na virus?!!!
Tunakusubiri utekeleze mkuuSiku nikitoboa oral nitajaribu kutoa miongozo na changamoto nilizoziface wakati wa oral
Inshallah
Connection pia usisahau,,,mimi nina jamaa yangu mishen Town jana Jkci namuona kwa mkeka .Kuna wt wana bahati pia wko vzr jamaa alipata kwa mwanasheria,akapata otr leo nimemuona tena ega duh sf sn
Jamaa atakua otr tu now!Kuna wt wana bahati pia wko vzr jamaa alipata kwa mwanasheria,akapata otr leo nimemuona tena ega duh sf sn
Kwa bongo yetu hii haya mambo yapo san tConnection pia usisahau,,,mimi nina jamaa yangu mishen Town jana Jkci namuona kwa mkeka .
Kumuuliza ananiambia kaa kimya,,haya maisha kaka...
Duh hii mpya selcted for null alf nyekundu tenaUshuhuda kwa watu kama 5 hivi. Account yako iki onesha SELECTED NULL rangi nyekundu kwenye Application ya Ajira jua uko kwenye Payroll ya Samia Next month.
Yah otr mpunga upo piaJamaa atakua otr tu now!
Basi ndo tushakandwa tayariUshuhuda kwa watu kama 5 hivi. Account yako iki onesha SELECTED NULL rangi nyekundu kwenye Application ya Ajira jua uko kwenye Payroll ya Samia Next month.
Mmh sio kwel bn wapo wnye kijn n wmepata kzBasi ndo tushakandwa tayari
Wenye kijani
Sa hvi naona ratiba ya placement sio j4 tenaPdf ya placement imetoka, taasisi yangu sijui pdf limeliwa na virus?!!!
Make wote wana selected for null mi nahisi kama jamaa asemavyo rangi nyekundu wanachukuliwa najipanga next time nishakandwa Kuna aliepita na kijani atupe mrejeshoMmh sio kwel bn wapo wnye kijn n wmepata kz
Hawanaga rtba maalum bs t sie jobless tumeassume ivo kutokn nying ziltoka j4...unaeza kuta na leo wakaachia nyingine maana bado taasis nyingne hazjtokaSa hvi naona ratiba ya placement sio j4 tena
ADEM,NIT,ATC,IRDP,MWEKA n.kHawanaga rtba maalum bs t sie jobless tumeassume ivo kutokn nying ziltoka j4...unaeza kuta na leo wakaachia nyingine maana bado taasis nyingne hazjtoka
Ime andikwaje! Cha msingi neno SELECTED NULLBasi ndo tushakandwa tayari
Wenye kijani
Wale wa kijani selected for null tushapigwa na kitu kizito sio make wanasema wenye nyekundu ndo wataramba asali najipanga next timeIme andikwaje! Cha msingi neno SELECTED NULL
Acha kujitia stress kijanaWale wa kijani selected for null tushapigwa na kitu kizito sio make wanasema wenye nyekundu ndo wataramba asali najipanga next time
Achana naye anaota, wewe ujui matumizi ya rangi nyekundu?Wale wa kijani selected for null tushapigwa na kitu kizito sio make wanasema wenye nyekundu ndo wataramba asali najipanga next time