HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Jobless unanichanganya kijana unataka kesho niingie Dodoma kuchukua barua yangu Nini [emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Amini mwanangu umetusua pazuri kazi luxury kabisa yani utupwe Jk nyerere au arusha miezi michache tu unatembelea makalio 😂😂😂
 
Amini mwanangu umetusua pazuri kazi luxury kabisa yani utupwe Jk nyerere au arusha miezi michache tu unatembelea makalio [emoji23][emoji23][emoji23]
Wadau mnanipanikisha Sasa [emoji23] [emoji23] naombeni msinikoseshe usingizi nikaanza kuota gari January tu hapa [emoji23][emoji16]

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Wadau mnanipanikisha Sasa [emoji23] [emoji23] naombeni msinikoseshe usingizi nikaanza kuota gari January tu hapa [emoji23][emoji16]

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
😂😂😂😂Sure mzee pale kuna hela me wanangu sinawaona maisha yao ndani ya mwaka mmoja tu wapo gud kinoma
 
Back
Top Bottom