Prolific26
JF-Expert Member
- Jun 14, 2022
- 500
- 939
Hiyo ni sawa na imani potofu😁😀😀😀😀 sio kweli nina imani kubwa huu mwezi hauishi
Hiyo ni sawa na imani potofu😁😀😀😀😀 sio kweli nina imani kubwa huu mwezi hauishi
Kwahiyo nawewe ukaamini ?hiyo after three weeks ndo inavyokua?
3 weeks==3 months mkuu jiongezehiyo after three weeks ndo inavyokua?
eeeh mzee nikaelew mzigo hii week wanaudondoshaKwahiyo nawewe ukaamini ?
dah math Pro hzo3 weeks==3 months mkuu jiongeze
😂😂😂😂au sio?basi subirieeeh mzee nikaelew mzigo hii week wanaudondosha
Utakuta tumeufuta😂😂😂itabdi niendelee na mishe zangu bhas hata huku kwenye uzi nije nichungulie mwakan mkifisha post 1000+ 😃 😃
Code😂dah math Pro hzo
🤣🤣🤣🤣Utakuta tumeufuta😂😂😂
Ndicho kilicho baki tukipata kazi tunaufuta mamaeee😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣
Ndio ili Baada ya mwaka tukija kuanza kudanganya member wa jf watu washindwe kufukua makaburi kila wakitafta sehemu tulio wahi comment hawaoni🤣🤣🤣Ndicho kilicho baki tukipata kazi tunaufuta mamaeee😂😂😂😂
Itakuwa admin kasahauLeo naona bila bila aseeh
😂😂😂😂😂Ndio ili Baada ya mwaka tukija kuanza kudanganya member wa jf watu washindwe kufukua makaburi kila wakitafta sehemu tulio wahi comment hawaoni🤣🤣🤣
Ujobless ni mgumu sana just imagine unasubiria kitu ambacho huna uhakika kama utakipataNilidhan mara baada ya kuisha game ya morroco na ushindi iliyopata ....mzee wa flash ange upload angalau pdf 1 ila bilabila labda atatoa baada ya game ya Mjerumani
Tunapata shida sana aseehUjobless ni mgumu sana just imagine unasubiria kitu ambacho huna uhakika kama utakipata
Tuendelee kuvuta subra[emoji23][emoji23][emoji23] ADEM tunawasubria Ahmet
Just imagine tunanunua bando ili tuangalie placementTunapata shida sana aseeh
😀 😀 mana hapa nimeshaandsaa barua ya kuresign kabsa mamaee😂😂😂😂au sio?basi subiri
Ujobless ni kama laana😂😂😂Just imagine tunanunua bando ili tuangalie placement