HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ukiwa jobless kuna maisha flani unayaimagine ukishapata kazi utayaishi ila pata kazi ndo utajua uhalisia
Yes ndio ilivyo sasa hivi unaona 1M kwa mwezi kubwa ila ukianza ipata ndio unajua hamna kitu.



By the way Lijendi uzi wako ule siku hizi kama umepoa hivi. Au ni sababu ya WC na mgao?
 
Back
Top Bottom