HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
nimezungumzia wahasibu, ww unazungumzia maafisa hesabu ambao huwa ni diploma holders (if am not mistaken). Wahasibu ni wengi zaidi bado
Hapa kuna kitu hakijakaa sawa,. Nimeona baadhi ya watu wanajaribu ku-justify hili kwa mwamvuli wa CPA,.

Ukwel usiopingika, CPA ziko nyingi mnoo mtaani, sio kitu adim tena nchini.
 
Back
Top Bottom