HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ungeonekana mjeuri ingawa ndio ukweli[emoji3][emoji3][emoji3]
😂😂😂😂aaah me ningemjibu upuzi sitakagi hahhhh Kuna wakati unakuta analazimisha anachowaza yeye hao nawambiaga sasa kama unataka majibu mengine labda nikudanganye
 
Niliulizwa maswali 7 aisee ila niliyajibu ndani ya dk 10 maana nilikuwa napiga short sana hadi point zinapitiliza/zidi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ndo wanatakaga hivyo short tu Yani hii mzee me najua umeipata kwasababu ulienda tayari Ushapata muongozo kulivyo na kuhandle presha ya mule kwahiyo hii ni yetu mzee
 
Back
Top Bottom