HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Msaada, kuna mtu kaniambia nimsaidie kuangalia majina ya usaili sijui, yeye ni mwalimu, kanipa email na password ya email, najaribu kuforgot password naambiwa email not found Kweny system ya ajira portal kasema. Nikiingia direct nakuta ujumbe 'under maintenance '
 
Relax bro nadhani wote account zetu zimekua hivo ila huko mbele zitafunguka tu hamna hata haja ya kuforget password
 
Wameshaanza kuvunja vunja pdf, naskia hizo ni za afya kati ya zile zilizofanywa mwezi wa 9
Wale wa afya wakae mkao wa kula tangu sasa hadi mwisho wa mwaka! Bila shaka pdf zitafululiza! Naona MDA ndo wametangulia, bila shaka LGA nao watafuatia!!
 
Wakuu, kwenye hizi usaili za waalimu mbona kwenye akaunti naona namba ya usaili pamoja na ratiba ya usaili ila kwenye pdf sioni jina?
 
Acha wenge search jina kwa kutulia kuna muda iukisearch inaload kwa mda mref kidg, kuna jamaa nilijaribu kusearch jina lake nikadhan amekosa coz sikuliona jina lake but alivojaribu kuangalia yeye mwenyew akalikuta
 
Wakuu, kwenye hizi usaili za waalimu mbona kwenye akaunti naona namba ya usaili pamoja na ratiba ya usaili ila kwenye pdf sioni jina?
Search jina pale juu, anza na herufi kubwa majina yote ikigoma andika herufi ndogo, na tulia jina litatokea
 
Back
Top Bottom