Second round au replacement huwa inatokea ambapo aliyepangiwa kituo mwanzo hakwenda kuripoti, badala yake anapangiwa mtu mwingine aliyefaulu Oral kwenda kujaza hiyo nafasi.
Kuna kitu kinaitwa Database(kama huna uelewa nacho), ni ambapo mtu akifanya Oral akafaulu halafu akakosa nafasi kwa muda huo, mf nafasi ilikuwa 1, Oral wakaenda watu 10, hapo mmoja atapata nafasi wengine watabaki databas. Baadae nafasi zikipatikana popote hao waliobaki watapangiwa vituo vya kazi.
Bila shaka utakuwa umeelewa kuhusu swali lako