Leonce jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2023
- 3,214
- 5,283
Huyu malafyale anazingua sana kila mtu apambane na hali ako ili tuwe wachache kwenye usail aaah mwaisa fyofiki🤣🤣🤣🤩Doubleg Malafyale nakushukuru sana mkuu....niliona kwenye nafasi za Quality assurance na Editor II sifa ninazo lakini mfumo unanikataa....ulishauri niwatafute...niliwatafuta wakasolve tatizo nina received 5 kwa Sasa ubarikiwe sana