Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,766
- 126,693
Tatizo nafasi yenyewe moja labda wafanye kama kwenye mkeka wa akina meck pro watutafutie nafasi hapo hapo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umetoboa mzee amini haya maneno
Pia najiuliza kada ya Afya ilivyo kubwa hivi eti wao wanataka mtu mmoja tu! mambo mengine tunabaniana wazi wazi