Mwambatz1
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 471
- 1,016
Labda hiki ulichokifanya kinaweza kuamsha huu uzi, maana na mimi nilijiunga na huu uzi kwa sababu niliona nyuma kuna msaada wa tipsza psrs, lakini kinachonishangaza ni kutopokea majibu, sasa sijui wa kada yangu ndo hawamo humu?🥲Kijana wizy hakuacha kunipa nasaha mbali mbali ambazo zilinibeba kwa kweli. Ubarikiwe sanaaaa kiongozi