😂😂😂😂😂Hilo ndo Jambo la muhimu tatizo lako huniamini mzee nilikwambia umepata kazi IAE hutaki haya subiri pdf itoke utakuja kuniambiaYaani unanipaga moyo we jamaa
😂😂😂😂😂Hilo ndo Jambo la muhimu tatizo lako huniamini mzee nilikwambia umepata kazi IAE hutaki haya subiri pdf itoke utakuja kuniambiaYaani unanipaga moyo we jamaa
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Hilo ndo Jambo la muhimu tatizo lako huniamini mzee nilikwambia umepata kazi IAE hutaki haya subiri pdf itoke utakuja kuniambia
Wamegoma kutoa pdf😂😂😂😂😂Hilo ndo Jambo la muhimu tatizo lako huniamini mzee nilikwambia umepata kazi IAE hutaki haya subiri pdf itoke utakuja kuniambia
😂😂😂😂Mwezi ujao mzeeWamegoma kutoa pdf
Duh mbona mbali sana😂😂😂😂Mwezi ujao mzee
Basi ngoja nikaanze tu kazi pdf litakuja tu😂😂😂😂😂😂😂😂 Shortlisted =placement
Selected for=kukandwa
😂😂😂😂Ndo ujue kutafuta kazi ni kazi piaDuh mbona mbali sana
Kwaiyo hii kila baada ya nusu saa kuingia website ya utumishi itaendelea Kwa mwezi mmoja mbele😂😂😂😂Ndo ujue kutafuta kazi ni kazi pia
😂😂😂😂Nikupe moka yangu uvae mzee yakuendea kazini hiyo hahhhh pdf haina haja kwani maswali situlijibu sisiBasi ngoja nikaanze tu kazi pdf litakuja tu😂😂😂😂
Naifata moka mapema sana jumatatu mzigoni 😂😂😂😂😂😂Nikupe moka yangu uvae mzee yakuendea kazini hiyo hahhhh pdf haina haja kwani maswali situlijibu sisi
😂😂😂😂Ndio mpaka tuheshimiane mtaani hahhhhKwaiyo hii kila baada ya nusu saa kuingia website ya utumishi itaendelea Kwa mwezi mmoja mbele
Kwakweli hawa utumishi watuonee tu huruma😂😂😂😂Ndio mpaka tuheshimiane mtaani hahhhh
Mpaka ukiliona jina unaanza kulia kwanza😂😂😂😂😂😂😂😂Ndio mpaka tuheshimiane mtaani hahhhh
😂😂😂😂hahhhhh wanatuoshea kinoma yani placement inakufanya hata huwezi kufanya ishu zingineKwakweli hawa utumishi watuonee tu huruma
Kwakweli acha niaze kuzipuuza tu Sasa hivi😂😂😂😂hahhhhh wanatuoshea kinoma yani placement inakufanya hata huwezi kufanya ishu zingine
😂😂😂😂Nikiliona tu siku hiyo napost status ya magari nitakayonunuaMpaka ukiliona jina unaanza kulia kwanza😂😂😂😂
😂😂😂😂Huwa hazipuuziki mkuu labda uwe wakishuaKwakweli acha niaze kuzipuuza tu Sasa hivi
Yaani, kama huna bando unaona Sasa Iko tayari ukiweka bando then unakuta bado yaani full stress😂😂😂😂Huwa hazipuuziki mkuu labda uwe wakishua
😂😂😂😂😂Kilichobaki mimi naangalia shortlisted yangu tu hiyo pdf itanikuta kazini aseehYaani, kama huna bando unaona Sasa Iko tayari ukiweka bando then unakuta bado yaani full stress
Nyongeza:Kea uzoefu wangu na wenzangu ambao wana kazi sasa hivi
Kwanza vaa vizuri, hapa namaanisha uwe smart, kuanzia juu hadi chini. Suti angalau au kama huna basi ata shirt official na surual plus viatu vya kufunika sio sandal.
Swali la kwanza always linakuwaga tell us about yourself, hapa utaongea ur introduction, ur education inshort atleast anzia level ya chuo, na professional experience. Ila wakisema ur education history and professional history, hapa tell about ur education background inshort labda kuanzia primary till where u are na professional background sehem ulipofanyia kazi na internship. Nakazia inshort, ukitaka kuelezea kingereza kitakutupa mkono. Mimi ndivyo najua hivi.