HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jobless afu natafuta utelezi itakuwa ndomaana nakandwa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Amna me ndo nakwambia ukikuta hujawekewa afu wenzio tayari ujue wamekukanda hiyo nna experience nayo
Najua hilo mkuu ndio maana nasema bora nisubiri pdf
 
Mimi maji ya kunde kwa mbaaaliii, mimi na weupe wapi na wap[emoji23]
Huyo kwenye Avatar yangu ndio mimi, sijui ni rangi gani maana jobless hawezi kuwa rangi constant, mambo yakimlemea anabadilika hadi rangi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom