HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
ila web pamenuna vibaya yaani ukifungua unakutana na cheche tu watu wanachomelea vyuma mara mwingine anapuliza rangi 🤣 🤣
 
..........Nipo na IT hapa, Anauliza atupie mzigo au asubiri kwanza tumalize msiba wa Manyara?
 
..........Nipo na IT hapa, Anauliza atupie mzigo au asubiri kwanza tumalize msiba wa Manyara?
Mwambie atupie tu, maana ule msiba hauishi still kuna watu hawaonekani walipo, Mungu awafariji sana ndugu zetu wa hanang
 
hawa jamaa bana yaan sisi tunataka pdf wenyewe wanatuwekea mafundi welding na wapuliza rangi 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom