HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mi ninavyojua usaili unaoendeshwa na psrs kuitwa kazini ni kutoa majina kwenye pdf...DUCE ni chuo kikuu usaili wameendesha wao wenyewe kwa usimamiz wa psrs kwa hiyo kuna uyofaut wa ADEM,IFM,NIT,ATC na vyuo vikuu
Ndio maana mikeka ya vyuo vikuu mingi imeanza kutoka baadae ndo ukawekwa kwenye website ya ajira
 
Mi ninavyojua usaili unaoendeshwa na psrs kuitwa kazini ni kutoa majina kwenye pdf...DUCE ni chuo kikuu usaili wameendesha wao wenyewe kwa usimamiz wa psrs kwa hiyo kuna uyofaut wa ADEM,IFM,NIT,ATC na vyuo vikuu
Hapo nimekuelewa vizuri Boss
 
Back
Top Bottom