Kwanini usikimbiwe?

chundaji

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2017
Posts
491
Reaction score
339
Habari wana MMU....
Kumekuwa na mambo mengi yanayojitokeza kwenye mahusiano mpaka yanasababisha watu kuachana kwa kujua au kutokujua. Sasa leo nimekuja na uzi huu kama unavyojieleza hapo juu kuonyesha mambo yanachangia mpaka mahusiano kuvunjika mfano..

Mwanamke unakuwa tegemezi hususani kwenye masuala ya kiuchumi sa kwanini usikimbiwe? Ukipigiwa simu unaongea kwa kujilazimisha hata uchangamki sasa kwa nini usikimbiwe? Mwanaume unakuwa rafu rafu muda wote hata mwili haujui manukato (perfume) sasa kwann usikimbiwe?

Mwanaume kila siku ukikutana na mpenzi wako lazima uombe mechi duu tubadirike.......

NB. Utasikia haa kule kapewa limbwata sijui kalogwa kumbe mchawi ni wewe na mimambo yako. Hayo ni baadhi katika yale mengi naomba wana mmu tuogezee na mengine ili tabia ya kukimbiwa itokomee kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…