Ukitumia airtel kwa maeneo yenye 3G.
Kuna vifurushi ambavyo unaweza kuvimudu hata wewe pia.
1. kifurushi cha data cha sh. 1000 kwa wiki cha 800MB
2. kifurushi cha siku cha sh 1000 dakika 30 mitandao yote sms 1000 na 300MB.
Eleza jinsi ya kufanya mkuu
kwa wanafunzi wa chuo kuna university promotion, inasaidia pia, jero kwa siku, buku jero wiki.
Kama ni airtel popote kinashika...dial *149*81 then malizia na reli..inamaanisha hiki hakiwahusu wasio wanafunzi?
huwa ninanunua vocha kabisa situmii airtel money kununua salio.
ukinunua vocha ya sh. 500 unakwangua na kupiga*149*pin ya vocha# na unapata dakika 15 mitandao yote sms 300 na 115MB. kwa saa24.
vivyo hivyo kwa vocha ya sh1000 unapata dakika 30 mitandao yote sms 1000 na 300MB. Kwa saa 24.
na kama unataka kifushi cha data peke yake kwa wiki unapiga *148*88# chagua bando kwa wiki utapata 800MB Kwa sh 1000 kwa wiki.
na hivi ndivyo nilivyohama vodacom...