Sijui ulikuwa unakimbia wakati wa kuandika mada hii...sijui ulikuwa upo bar monde ilipoanza kuchanganya kichwani ukakumbuka kuna kitu cha kutupia humu ilihali ubongo ushazungukwa na monde. Dah! Sijapata jibu ulikuwa unaadika mada hii ktk mazingira yepi hasa.Kweli, naungana na mdau hapo juu,tukifanya utani tutakuja kufundishwa lugha ya Kiswahili na Wajapan badala ya sisi kuwafundisha wao.