Kwanini Urusi Inataka kuvunja Mtandao wa Intanet - Kujitoa World Wide Web (www)

Tatizo ni kuwa hii nchi ina la saba wengi, bila watu wako kuwa na Elimu huwez peleka nchi popote, utajenga std gauge kesho utakuta wameharibu , wameng'oa taa za barabarani kwenda kuuza, utakuta wamekunya kwenye station za tren au wamekunya ziwan,....
watu wengi wapo blind minded , hawafanyi reasoning wapo tu kama kondoo...
Their fast and cheap solution Kwa matatizo Yao ya kibiashara na kijamii mi ushirikina na kurogana , hawawazi kutoboka nje kuchukua technology na kuileta nchini , huwez kupata exposure kama huna elimu , Raisi naye kajifungia tu ndani, sera za uchumi za hovyo hovyo....taabu tupu , Wakenya hatuwez kuwafikia hata Rwanda wameanza kuwekeza kwenye elimu kamwe hatuwez wafikia, unakuta mbunge anatoa zawadi ya pipi na watu wanamshangilia , ni Kwa sababu kichwani hawana kitu cha kureason
 
Back
Top Bottom