Kwanini Urusi Inataka kuvunja Mtandao wa Intanet - Kujitoa World Wide Web (www)


hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Messages
28,338
Points
2,000
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2014
28,338 2,000
najua ilo maana nipo urusi kwa kipindi kirefu lakin nauliza kwetu tunashindwaje hayo
Daah ' unauliza hilo kwetu -- kwa level ya kuwa na viongozi wenye ubongo kama DAB unadhani tutafika huko -?

Sasa kama nchi inaongozwa na kiongozi ambaye hajui hata Saddam Hussein alikuwa ni raisi wa Iraq badala yake akasema kuwa ni raisi wa libya. Unadhani tutafika huko '..

Wenzetu wamefika huko walipo kwa kuwekeza kwenye kufikiri kwanza
 
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Messages
28,338
Points
2,000
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2014
28,338 2,000
....kama waathirika wa tetemeko bukoba michango waliochangiwa na wananchi wenzao wanyonge hawakuipata sembuse ayo makitu ya kidhunguuu!! Wakati nasikia jiwe anawachukia wadhunguuu! Kwavile rugha yao ni ngumu
Hahaa daah
 
Adverse Effect

Adverse Effect

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2017
Messages
580
Points
1,000
Adverse Effect

Adverse Effect

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2017
580 1,000
najua ilo maana nipo urusi kwa kipindi kirefu lakin nauliza kwetu tunashindwaje hayo
Hatujashindwa ila bado muda haujafika, tunapambana kwanza wakurugenzi wawe wasimamizi wa uchaguzi.
 
Waziri wa Kaskazini

Waziri wa Kaskazini

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2015
Messages
3,815
Points
2,000
Waziri wa Kaskazini

Waziri wa Kaskazini

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2015
3,815 2,000
lakin zote ni kufungia, ujue serikali zinazojiitaga wajamaa wana mambo ya kipuuzi sana ukianzia Urusi, ukaja China, Venezuela,Cuba, Urusii wote wanaongozwa kama waumini wa kanisa la askofu mmoja ....
Mkuu embu niambie ni mfumo upi ambao ww unadhani nchi kama nchi tukiufuata tutatoka hapa tulipo kiuchumi na kupiga hatua?
 
britanicca

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Messages
11,011
Points
2,000
britanicca

britanicca

JF-Expert Member
Joined May 20, 2015
11,011 2,000
Mkuu embu niambie ni mfumo upi ambao ww unadhani nchi kama nchi tukiufuata tutatoka hapa tulipo kiuchumi na kupiga hatua?
mfumo jumuifu yaan unanusa harufu ya beberu kidogo alafu na kuku wa kienyeji yaan mjamaa
 
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Messages
24,658
Points
2,000
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2014
24,658 2,000
Huyu jamaa anachotaka kufanya ni ku hack mifumo ya wengine ila mfumo wake ubaki salama...

Nia yake ni kuitawala dunia na kuingilia mifumo ya wengine...

Cc: mahondaw
 
FRANC THE GREAT

FRANC THE GREAT

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2016
Messages
1,196
Points
2,000
FRANC THE GREAT

FRANC THE GREAT

JF-Expert Member
Joined May 27, 2016
1,196 2,000
Kuna Baadhi Ya Mambo Yanachekesha Sana!! Anyways, Kuna Msemo Unasema "Information Is Power" Na Kinachojaribiwa Kufanyika Ni Kuzilinda Taarifa Zao (Serikali) Na Kutotoa Mianya Ya Taarifa Hizo Zisije Kudondokea Mikononi Mwa 'Wahuni'.
 
britanicca

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Messages
11,011
Points
2,000
britanicca

britanicca

JF-Expert Member
Joined May 20, 2015
11,011 2,000
Kuna Baadhi Ya Mambo Yanachekesha Sana!! Anyways, Kuna Msemo Unasema "Information Is Power" Na Kinachojaribiwa Kufanyika Ni Kuzilinda Taarifa Zao (Serikali) Na Kutotoa Mianya Ya Taarifa Hizo Zisije Kudondokea Mikononi Mwa 'Wahuni'.
Kumbe
 
Vupu

Vupu

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2016
Messages
1,727
Points
2,000
Age
33
Vupu

Vupu

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2016
1,727 2,000
lakin zote ni kufungia, ujue serikali zinazojiitaga wajamaa wana mambo ya kipuuzi sana ukianzia Urusi, ukaja China, Venezuela,Cuba, Urusii wote wanaongozwa kama waumini wa kanisa la askofu mmoja ....
serkali za kijamaa sio kuwa zina mambo ya kipuuzi .. Sera zao ni za kizalendo zaidi ...

nimeshtuka kuwA kumbe post yako imejaa chuki


over
 
Ntolonyonyo

Ntolonyonyo

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
1,868
Points
2,000
Ntolonyonyo

Ntolonyonyo

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
1,868 2,000
Kwa mtazamo wangu, kinadharia inaweza kuwa hivyo ila kiuhalisia, Nchi moja haiwezi kukidhi mahitaji ya kimtandao ya raia wake. Labda iwe nchi ya kidikteta kama N. Korea. Nasema hivi kwa kuwa katika Dunia ya kidigitali hakuna linaloshindikana na hakuna kujifungia. Russia hawezi kukidhi mahitaji yote ya internet kwa raia wake, matokeo yake zitaibuliwa illegal means za kuaccess taarifa zilizo kwenye www.

So kivitendo naona kama ni ngumu.
Nafikiri lengo la Urusi si kujifungia ama kujitenga..hapana..lengo ni kuwa na uwezo wa internet yao kufanya kazi hata pale ambapo mataifa ambayo servers zipo yataamua kuzima interner....in short wameshituka baada ya kuona dunia ya sasa watu wanaweza wakakuwekea vikwazo kwa kitu chochote..na wao kwa sasa hawana uwezo wa kujilinda na kuhakikisha usalama na ufanyaji kazi wa internet yao.....Na process imeanza kitambo kidogo pale walipoanza kuwalazimisha mitandao ya kimataifa kutengeneza miundo mbinu ndani ya urusi ambayo itawezesha kutunza taarifa zote ndani ya urusi kwa kipindi cha miezi sita....
Wanachofanya ni sawa tu..viongozi wa siasa wa ulimwengu wa sasa hawatabiriki..

Pia utakumbuka mwaka juzi hivi Palikua na maneno ya kuwataka kuwadisconnect kutoka katika mfumo wa kibenki wa kidunia....kitu hiki hakikufanyika lkn tayari wameishaanza na wamedevelop mfumo wao ambao utaweza kufanya kazi hata kama hilo suala litatokea....tayari wana MIR pia etc
 

Forum statistics

Threads 1,295,665
Members 498,336
Posts 31,218,813
Top