Kwanini Urusi Inataka kuvunja Mtandao wa Intanet - Kujitoa World Wide Web (www)

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Hatimaye imetokea mwanzoni mwa mwezi Mei, Rais wa Urusi Bwana Putin alisaini mswada unahusu masuala ya mtandao nchini humo ''Russia's Internet Sovereignity''
Pia inaamuru utendaji au uunzi wa miundombinu inayoruhusu Urusi mitambo yake na intanet yake kuoperate endapo watendaji wa mitambo yao itafeli,

ujumbe
It finally happened, at the beginning of May president Vladimir Putin signed a bill that seeks to establish Russia’s “internet sovereignty.” Among other measures, it dictates the creation of the infrastructure to ensure the operability of the Russian internet in the case of Russian telecom operators’ failure to connect to foreign root servers. A national internet, in other words. The idea of creating an autonomous system of internet governance originated in China, but make no mistake: the Russian internet sovereignty law goes beyond anything China has so far attempted. While China is able to exert control over the content that can be accepted inside its borders, the physical infrastructure of the internet remains very much outside its reach. But then, as Fang asks: if the fundamental infrastructure of the entire global network is based in one country what then happens if that country decides to disconnect China or Russia from the internet? The Russian plan aims to answer Fang’s question by creating a national domain name system, which the internet sovereignty law notes is not yet fully functional but is undergoing creation by Roskomnadzor, the Federal Service for the Supervision of Communications, Information Technology, and Mass Media.

The process is fiendishly complicated because it involves storing all prospective content of the internet on servers in Russia, but if it works, then Russia will effectively be in possession of its own internet, capable of fully functioning when disconnected from the global network. Putin said that Russia needs to create an area of the internet “that depends on nobody.” Russian state intelligence organizations have been regularly accused of interfering with the internal affairs of other countries. This attribution depends on the ability to trace the origin of the activity back to its source. But if Russia develops its own internet, that possibility is ruled out. Naturally, some worry that Russia is preparing for a world of recurrent and increasingly violent cyber conflict. One of the most attractive features of the internet as we know it is that every country is vulnerable to widespread disruption and infrastructure collapse, making it less interested in launching an attack with unpredictable consequences. But if Russia is able to isolate itself from the global internet, it suddenly will care much less about what happens to it. Think of a stealth fighter jet, capable of operating in full freedom, undetectable and indestructible. '''

This implies

1) If successful, the Russian military will be able to viciously cyber-attack any nation and then withdraw and disconnect Russia from the World Wide Web, ensuring safety from cyber retribution.

2) If there should ever come a Russian "color revolution", the Putin regime can disconnect from the Internet and block the international community from knowing what draconian measures are transpiring within Russia.

3) In the not too distant future, we will witness a "Balkanisation of the Internet" in which dictators can separate their nations from the free flow of Internet information.

Britanicca
 
Urusi wanafungia mtandao kwa sababu wameunda mifumo yao wenyewe ambayo itakuwa inafanya kazi kama hiyo inayofungiwa pia wanafungia kwa sababu za kiusalama

Jiwe yeye hapendi Mitandao kwa sababu hapendi kupingwa wa kushauriwa
lakin zote ni kufungia, ujue serikali zinazojiitaga wajamaa wana mambo ya kipuuzi sana ukianzia Urusi, ukaja China, Venezuela,Cuba, Urusii wote wanaongozwa kama waumini wa kanisa la askofu mmoja ....
 
lakin zote ni kufungia, ujue serikali zinazojiitaga wajamaa wana mambo ya kipuuzi sana ukianzia Urusi, ukaja China, Venezuela,Cuba, Urusii wote wanaongozwa kama waumini wa kanisa la askofu mmoja ....
China na urusi wanafungia huku wakiwa na mbadala wa hizo web na app kwa malengo ya kupunguza utegemezi kwa USA na kukuza vya kwao mfano urusi imetoa pesa kwa makampuni ya ndani ili waende Mitandao yao
 
Kwa mtazamo wangu, kinadharia inaweza kuwa hivyo ila kiuhalisia, Nchi moja haiwezi kukidhi mahitaji ya kimtandao ya raia wake. Labda iwe nchi ya kidikteta kama N. Korea. Nasema hivi kwa kuwa katika Dunia ya kidigitali hakuna linaloshindikana na hakuna kujifungia. Russia hawezi kukidhi mahitaji yote ya internet kwa raia wake, matokeo yake zitaibuliwa illegal means za kuaccess taarifa zilizo kwenye www.

So kivitendo naona kama ni ngumu.
 
Tunashindwa kwa sababu hatuna teknolojia
Na hatuna teknolojia kwa sababu TISS wenyewe wanaangaika na upinzani tu baadala ya kuangaika na uchumi wa nchi

Rejea kauli ya Paul kagame kuwa kama Rwanda ingepewa bandari ya DAR angeifanya Rwanda kuwa kama ulaya
najua ilo maana nipo urusi kwa kipindi kirefu lakin nauliza kwetu tunashindwaje hayo
 
Urusi wanafungia mtandao kwa sababu wameunda mifumo yao wenyewe ambayo itakuwa inafanya kazi kama hiyo inayofungiwa pia wanafungia kwa sababu za kiusalama

Jiwe yeye hapendi Mitandao kwa sababu hapendi kupingwa wa kushauriwa
Putin ni dictator anafanya hayo ili kujiweka safe zaidi, Urusi kuna polices tight sana kuhusu mitandao
 
najua ilo maana nipo urusi kwa kipindi kirefu lakin nauliza kwetu tunashindwaje hayo
Mkuu hayo mambo ni complex sana ni kama leo unaambiwa angola amerusha sattelite ila kuanzia design na full operational anayo mzungu sasa apo angola ni kanunua tu iyo sat, tuwekeze kwenye elimu kwanza ambayo italeta positive output achana na haya ya kumeza vitini na madesa ili mtu atoboe akapate ulaji
 
Kwa mtazamo wangu, kinadharia inaweza kuwa hivyo ila kiuhalisia, Nchi moja haiwezi kukidhi mahitaji ya kimtandao ya raia wake. Labda iwe nchi ya kidikteta kama N. Korea. Nasema hivi kwa kuwa katika Dunia ya kidigitali hakuna linaloshindikana na hakuna kujifungia. Russia hawezi kukidhi mahitaji yote ya internet kwa raia wake, matokeo yake zitaibuliwa illegal means za kuaccess taarifa zilizo kwenye www.

So kivitendo naona kama ni ngumu.
Absolutely kwenye uwanja wa digital hakuna satisfaction china na sheria zake kali ila bado raia wana acces blocked networks through VPN
 
Nilichoelewa ni kwamba hawaachi kutumia WWW, ila wanatengeneza ya kwao ambayo itakuwa ikitumiwa hasa na serikali na vyombo vyake vyote. Ila wanainchi wa kawaida sijaona kama nao wakalazimishwa kutumia hiyo ya nchini kwao babala ya WWW maana watakosa mengi, itakuwa ni sawa na kuishi msituni peke yako.
 
Kama inashindikana kuwapatia uhakika wa maji wakaazi wa kyela au Ukerewe.....hayo ya mtandao ni level nyengine.
....kama waathirika wa tetemeko bukoba michango waliochangiwa na wananchi wenzao wanyonge hawakuipata sembuse ayo makitu ya kidhunguuu!! Wakati nasikia jiwe anawachukia wadhunguuu! Kwavile rugha yao ni ngumu
 
Nilichoelewa ni kwamba hawaachi kutumia WWW, ila wanatengeneza ya kwao ambayo itakuwa ikitumiwa hasa na serikali na vyombo vyake vyote. Ila wanainchi wa kawaida sijaona kama nao wakalazimishwa kutumia hiyo ya nchini kwao babala ya WWW maana watakosa mengi, itakuwa ni sawa na kuishi msituni peke yako.
Haswaa wala hujakosea population ya Russia ni 150M sasa kwenye hilo kundi utakuta wanaoruhusiwa kutumia internet wako 70M au 60M.

China imekufa kabisa kwenye kufungia kwao mitandao ya kimarekani watu wa dunia ya tatu na ya kwanza upande wa magharibi hatujui lolote kuhusu China ila Ya Mumbai tunayajua
 
Kurekebisha kingo za mto tu pale jangwani tumekopa WB,je hayo mambo mazito ya internet na miundombinu yake tutawezea wapi?
hahahahahahahahahahahahahahahahahhaha aaaaaaaa nimecheka sanaa
 
Back
Top Bottom