Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,306
- 3,413
Habari nimepitia thread kadhaa nimeona wadau wengi wantatizwa kwanini urusi mpaka sasa hajachukua action zinazoonekana za kumsaidia iran katika vita yake na izrael,na wengine wameeda mbali na kumuita urusi ni mnafiki na pia kumuona ni mbinafsi na wengine wakihusisha kuwa mrusi sio wa kumuamini kwa kuwa alisaini mkataba wa kusaidiana kijeshi na iran wakati umefika lakini hamsaidi iran.
kuna sababu kadha wa kadha kwa kadiri ya ufahamu wangua zinayopelelekea urusi asiingie katika vita hivi moja kwa moja,nitazieleza kadiri nitakvyojaaliwa .
1.urusi hajasaini mkataba wa kusaidiana kijeshi na iran pindi nchi moja inapovamiwa kama watu wengi wanavyodhani bali urusi na iran mapema mwaka huu walisaini mkataba unaoitwa Iranian–Russian Treaty on Comprehensive Strategic Partnership uliosainiwa january 25 mkataba huu ulikuwa na malengo mengi kwa uchache ni kuboresha zaidi mahusiano baina ya nchi hizo,kuweza kupamabana na viwazo vya kiuchumi vya nchi za mgaraibi wakiongozwa na USA,kuongeza mashirikiano ya kiuchumi na biasahara na kuboresha uwezo wa kijeshi lakini hakuna mahala ambapo nchi moja inalazimika kwenda kumlinda mwenzake wakati wa vita
2.urusi hataki iran amiliki nyuklia-najua watu wengi humu katika jukwaa ni pro-russian lakini kuna muda ni lazima tuzungumze ukweli russia ni mzungu kama wazungu wengine japo anautofauti kidogo na linapokuja swala la iran kuweza kumiliki nyuklia russia ana msimamo sawa na nchi nyingine za west za kutotaka iran awe animiliki nyuklia -infact nchi zinazomiliki nyuklia hazitaki kuwe na wamiliki wapya wanataka wawe hao hao hawataki ziongezeke ili pasiwe na complexity katika geopolitics na military power.
3.urusi ni mzayuni.- mrusi ni mzayuni wa kihistoria kama walivyo wazayuni wengine hivyo ni ngmumu kwa yeye kwenda kupigana vita na wazayuni wa izrael labada ilazimike sana ,naomba hapa ieleweke vizuri kuna utofauti kati ya uzayuni na uyahudi ,wayahudi ni taifia ila uzayuni ni sera ,na kiasili wakati wa nusu ya kwanza ya karne ya 20 wakati wayahudi wanayanyasika na wazungu katika mataifa wengine(rejea holocust) wayahudi wengi walikuwa ulaya mashariki ikiwemo poland na russia hivyo wakati wazo la kuanzisha taifa la russia mwaka 1897 linachimbuka kwa kuanzishwa kwa baraza la uzayuni la dunia(world zionosita council) idadi kubwa ya wazayuni walitokea russia ndio maana russia alikuwa tayari hata kutaka kupokea na kutuzna urani iliyorutubushwa kwa zaidi ya asilimia 80 kutoka iran kuwaridhisha western countries,izrael na yeye mwenyewe.
4.urusi tayari ana vikwazo na ana vita anavyopigana na ukraine hivyo ni ngumu kwa yeye kwenda kujiingiza moja kwa moja katika vita nyingine kwa saabu kuu mbili 1 ya focus na ya kiuchumi,anahofia vikwazo zaidi toka kwa nchi za magharibi na pia hataki mzozo huu uwe mkubwa zaidi kwa mataifa mengine kujiingiza moja kwa moja katika mgogoro ,kitendo cha yeye kujiingiza ni kuwakaribisha mataifa mengine kuingia katika mgogoro huu ,hii inaenda sambaba na kitendo cha iran kujibu mashambulizi kwa wastani kwa izrael lengo ni kutowapa nafasi nchi za tatu kwa maana ya nchi za magahraibi zisipate sbabu ya kujiingiza moja kwa moja katika vita. kwa kuwa itakuwa ni vita ngumu kwa iran,hivyo inayoweza kupelekea iran kupoteza ushawishi wake kwa proxy countries and groups
MAONI YANGU.
1.pamoja na sababu hizo zote hapo juu ambazo zinampelekea urusi ashindwe kuingia moja kwa moja katika vita ,ila akishindwa kufanya ushawishi wake na kumsaidia iran vita viishe au visimame na ikipelekea iran akapoteza katika vita hivi basi atakuwa amepata pigo kubwa sana urusi kwa kupoteza mshiriki muhimu na mwenye nguvu mashariki ya kati,baada ya kuwa amempoteza mshiriki muhimu mwingine ambae ni bashiri al assad,hivyo ikitokezea amempoteza na iran itakuwa pigo kwa urusi na itawarahisshia nchi za mgaharibi kushughulika na urusi kwa kuwa wanajua serikali ambazo haziko upande wao katika globala south zimepungua hivyo urusi ana kila sababu kuhakikisha iaran hapotezi katika vita hata ushiriki wake wa indirect
2.propaganda.mimeona watu wengi sana wanahadiaka na fake news zinazozozilshwa katika vita ,ni muhimu wqatu wakajua kutofautisha video za AI na video halisi lakini pia sio kila habari vita inayoonekana ni sahihi watu inaibidi wajifunze kuvumilia kupost habari zilizothibitishwa toka katika vyombo vya habari ambavyo ni reliable au habari walau ionekane hata kwa vyombo vya habari vingi.miongoni mwa fake news /propaganda nilizoziona na watu wengi kuziamini ni kuwa china amempa jet figher iran,
3-iran ametoa somo-bila kujali matokeo ya vita yatakuwaje ila mpaka sasa irana ametoa somo kubwa sana kwa uwezo alionao wa kushambulia na kuoiga target ndani ya izrael,ifahimike kuwa duniani hakuna nchi ambayo ina mifumo mingi ya ulinzi zaidi ya izrael,lakini pia hakuna nchi ambayo ina pata suport kubwa ya kijehsi toka mataifa mengi yenye nguvu zaidi ya izrael kwa mwaka tu izrael anapata zaidi ya dola bilioni 3 toka marekani na misaada mingine ya wanajeshi ambao huenda kwa gia ya wanajeshi wa akiba na msaada wa kiintelijinsia lakini bado makombora ya iran yanayosafiri zaidi ya kilometa 1500 yanasafiri na kupiga taregte tena yakiwa yametengenezwa na teknlojia ya iran ya ndani kwa kuwa iran ina vikwazo vya miaka zaidi ya 40 hivyo kuna watu waliundermine military power ya iran ila sasa iran ameonyesha uwezo wake (kamili) wa kijeshi.na