Kwanini upo single?

MNAOSEMA MPO SINGLE MNATAKA KUSEMA HAKUNA ANAYEGEGEDWA HUMU WALA KUGEGEDA? SASA OLE WENU NIJE PM MSEME MNA MABWANA
Single unaelewaje mkuu ni mtu ambae hajaoa au kuolewa yaani hata kama ana girlfriend au boyfriend anakua ni wa mpito tu si wa kuishi nae
 
wewe ni single?
Hahahhh
Single niliye sokoni.
Muda wowote nanunuliwa na mteja wangu special.

Ila kuwa single raha sana, nilikuwa narudi muda ninaotaka.
Nipike au nisipike hakuna wa kuniuliza.
Nilale nje au ndani, hakuna wa kunihoji.
Nasafiri popote ninapotaka.
Nzuri kuliko zote, nachagua tu wa kulala nae siku hiyo.

Ndo basi tenaaaaa..
 
Kwa wanaume wote mlio single humu karibuni CHAPUTA fanyeni application mapema fomu ni chache
 
Hahahaa sawa
 
Dah so soon utatupotea humu?
 
Nipo singo kwa sababu wanawake wengi wanaweka pesa mbele sana na mimi huwa sitoi senti yangu bure labda nitoe kwa kusaidia.
 
Npo Single Cz nna Machine/P*nis Heavy Duty. Wadada wanaikataaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…