Kwanini upo single?



Uza gari...
tumia daladala na bajaj na taxi

nyumba pangisha
pesa zako invest kwa siri kwingine huku ukiishhi low hivi kwa mda hadi umpate unaemtaka
 
Nipo singo coz sina hela ya albam
 
Hahahha tatizo sifa unazooo? Napenda mwanaume kibonge alie na kitambi flan hv
umegusa mule mule, nina kitambi ambacho kila nikikomaa kipungue najikuta nashindwa, so nimeamua kuendelea kubaki nacho tu six pack siziwezi.
 
Uza gari...
tumia daladala na bajaj na taxi

nyumba pangisha
pesa zako invest kwa siri kwingine huku ukiishhi low hivi kwa mda hadi umpate unaemtaka
Nashukuru kwa ushauri natamani ningeandika zaidi lakini some people will easily spot me kwa nature ya kazi na biashara nifanyazo .laiti lingekuwa gari tu kwa sasa siishi kwenye nyumba yangu wala sijaipangisha japo nimepanga nina panda boda daladala etc na magari nilipark kwa hasira coz the last guy ambaye nilihisi we can match tulikuwa tukiongea kwa simu anaulizia hbr ya magari nikambwaga its a year now sijasogelea mwanaume nimeamua sometimes we have to leave the nature ichukue mkondo wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…