Kwanini upo single?

dah ila sjui swaga au ndo mikwanja mana toka nlivyopendwa primary na o level naona nyota sina kabisa
ulikuwa unapata wasichana wacha niseme wasichana ambao walikuwa hawayajui maisha bado ukiingia kitaani ndo utajua kataingia diploma kila siku kanataka katokezee kifasheni ndo wenye mkwanja wanapopata nafasi kuwa nao hata madem 20 hakunaga bahati siku hizi
 
Nipo single sababu tulienda Mikumi ubavu wangu ukaliwa na simba.
 
Wengine tumetoka kupata uCHAPUTA EXPERT MEMBER juzi juzi tu
 

Niko single kwakua madem wengi wananifanya kama baba yao kama mama yao au ATM ya ki bank.kuombwa pesa zisizo n msingi wwte katika mausiano yetu.
 
no money ila moyo wakumpenda ambaye yupo tayari kupendwa na kuthaminiwa,,,ninao
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…