Kwanini upo single?

Mimi nalazimika kusema nipo singo kila mara sababu nikimjibu mwanamke nina mtu wangu nitamkosa kizembe
 
Mkuu mleta uzi bado hujachangamkia fursa tu??
Fursa nimeziona mkuu daby ila nawavutia speed waje waje kwanza kama Ali kiba
Si unajua wahenga walisema haraka haraka haina baraka.
So nasubiri wajae ili niwachuje vizuri.
 
Mwanaume unakuwahe single?? Labda hauna confidence aka money ya kuwa MC kwenye shoo ndgndg hizi
 
Hatuaminiani unakaa kimachale na mwandani wako ndio unaamua tu uwe mwenyewe
 
Sisi masingle tuaishi kwa uhuru mkubwa kuwai kutokea duniani
 
katika ukoo wako wote hakuna alie hata robo yangu kwa uzuri pita kulee
Kwa kujisifia tu hujambo! Ila uhakika wa yale usemayo ndiyo shida kuyaamini maana sampuli za watani zangu wachagga sinaeleweka mnavinasaba vya wahindi
chagga eti

sample ya kitu cha ukoo wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…