Kwanini upinzani wetu umeshindwa kututetea badala yake wanatetea wakwepa kodi na mafisadi ya ACACIA?

Hoja ni kwanini wapinzani wana tetea mafisadi ni kwamba kabla aija watetea alikuwa pamoja na serikali na aliitaji kwamba wafanye mambo kisheria ila akaonekana hana maana,, na akasema kwa kufanya hivyo serikali itagharimika tuka danganywa tutalipwa kumbe ni tutawalipa kama alivo sema mka mpuuza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo umeandika nini hebu rudia kusoma ulichokiandika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu serikali yako ni sikivu hata wewe unaweza kuipazia sauti. Wasaidie hata msaada wa kisheria sio kulaumu tu. Je wewe umefanya kipi kuwasaidia?
Mimi sijui sheria mkuu, kwanza kabla hatujafika mbali unajua maana ya upinzan? Maana naona ulichoandika hata hakiendan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hujajibu swali ndugu
hoja kwamba mlisema mapema ni muflisi
mbona hata Mafisadi, mikataba ya madini mlisema mapema, lakini leo hii bado mnaikosoa vikali serikali
 
Kwani wao ndio walioleta ACCACIA, si imeletwa na CCM na wapinzani wakapiga kelele kuhusu utaratibu wa mikataba, na sasa wanapiga kelele kuhusu utaratibu unaotumika kuvunja mkataba, tatizo akili zenu mmezielekeza kusiko mkifikiri mnazo kumbe weupe
 

KWani Lissu alipowapa njia mbadala ya kufuata mlimuona siyo Mzalendo sasa mnatafuta nini??Aliwaambia bila kuondoa kipengele cha kutoshtakiwa waliotuingiza kwenye upumbavu huo Taifa litasota sana au hamkumuelewa??

Baba J ameogopa akitoa KINGA ya kutoshtakiwa wakati na yeye ana kaburi lake la Kivuko Kibovu hayuko salama ameona bora apate Kick asonge mbele.

Ukishatoa kipengele cha kutoshtakiwa watangulizi watawala wetu basi haki zetu zote tutapata maana hawa ndiyo waliokula RUSHWA kubwa na hata hao ACACIA hamuwezi kuwagusa sababu wanajua mkiwashtaki linawageukia walioretire.

Usirushe mawe wakati nyumba yako ni full vioo tena vya Kichina
 
Kwani wao ndio walioleta ACCACIA, si imeletwa na CCM na wapinzani wakapiga kelele kuhusu utaratibu wa mikataba, na sasa wanapiga kelele kuhusu utaratibu unaotumika kuvunja mkataba, tatizo akili zenu mmezielekeza kusiko mkifikiri mnazo kumbe weupe
Madaa umeielewa au hapa ndo akili yako inapoishia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi wananchi tusiojua kusoma na kuandika tutawezaje pasipo huyo lissu tuliyemuchagua kutupambania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada wewe ni roboti au ni binadamu mwenye damu kabisa..??
Hivi sheria mbovu mtunge wenyewe kwa maslahi ya hao wazungu wenu, matumbo yenu na familia zenu...!!
Tukipiga kelele mnatutukana, mnatupiga mabomu na kutupiga mabomu... Alafu mkianza kuingia hasara mnataka tushirikiane na nyie kulitetea taifa ambalo nyie ndo mmelifikisha hapo lilipo..??
Acheni dharau jamani... Tumieni hata robo tu ya akili zenu.. Mbona mnavaa vizuri na kupendeza..??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…