Hii ya kununua upinzani; ikitumia inductive and deductive reasoning ina maana wapinzani wote wana price tag sio? Ila uchaguzi wa TZ una vioja bana, 2015 aliyekua msaliti au mmbunge wa Mahakama alikua ni Zitto mbatia alikua jembe ilihali alikua mbunge wa kuteuliwa kutoka CCM mwaka huu ni vice versa Mbatia ni Msaliti na Zitto ni Jembe ili hali 2015 alikua mbunge aliyefadhiliwa na CCM.Na kwanini CCM wanateka watu, wanauwa watu, wanapiga risasi wapinzani, wanakataza upinzani kufanya mikutano, wananunua wabunge wa upinzani?
Tatizo ni nini.
Kununua umepiga? Lakini mengine yapo sawa!!Hii ya kununua upinzani; ikitumia inductive and deductive reasoning ina maana wapinzani wote wana price tag sio? Ila uchaguzi wa TZ una vioja bana, 2015 aliyekua msaliti au mmbunge wa Mahakama alikua ni Zitto mbatia alikua jembe ilihali alikua mbunge wa kuteuliwa kutoka CCM mwaka huu ni vice versa Mbatia ni Msaliti na Zitto ni Jembe ili hali 2015 alikua mbunge aliyefadhiliwa na CCM.
Siasa bana ukiamua kufuatilia ni shida tu.
2015 nilipiga kura kwa fuata mtu badala ya chama maana rais nilipigia chamankingine Mbunge naye chama kingine na Diwani pia nilipigia vyama vitatu tofauti uchaguzi wa 2015 yaani CCM, CHADEMA na CUF NA MWAKA huu itabidi nifanye hivyo tu
Ukiangalia Movie kali za wamarekani za kiitelejensia za CIA wanakuaga na mammluki na mapandikizi mengi hadi unaweza kuta mkuu wa CIA mwenyewe ni pandikizi la Russion...hahahaKununua umepiga? Lakini mengine yapo sawa!!
Note.
Basi kwa hoja zako hizi ni bora ungekaa kimya au ungeweka hoja zinazoendana na hili?Ukiangalia Movie kali za wamarekani za kiitelejensia za CIA wanakuaga na mammluki na mapandikizi mengi hadi unaweza kuta mkuu wa CIA mwenyewe ni pandikizi la Russion...hahaha.
Sawa na Siasa za TZ unaweza kukuta hata unayemuani kuwa huyu ndiye yeye kumbe na pandikizi la CCM...HAHAHAH
Si ndio upumbavu wao sasa mkuu maana na wa upinzani wakiongea nao ni vile vile.mbona wabunge wa CCM kila wakiongea ni mbowe tu?