Kwanini Upinzani unapenda kufikiria vitu Negative?

Kwanini Upinzani unapenda kufikiria vitu Negative?

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
10,489
Reaction score
15,303
Kwanza Kabisa nawapa pole Wafiwa, Pamoja na Wamiliki wa CHADEMA. Binafsi nimeona kuna Unafiki kwa baadhi ya Mashabiki wa CHADEMA ambapo wanahamasika sana kushabikia Vifo vya Viongozi hasa wakiwa wameuawa hata kama alikua wa Ngazi za Chini Kabisa Ni vizuri kwa Sababu binadamu hatuna grade (madaraja).

Ila hawa Vijana wanaonekana kupenda kusikia Viongozi wao wameuawa ndipo hujaza thread za Kila aina wao Habari Mbaya ndiyo nzuri kwao na Kuanza kuisingizia Serikali yenye Kazi nyingi kuwa imehusika.

Ushahidi reactions za kifo cha Mbunge Kasuku Samson Bilago Mbunge wa Buyungu ambaye vijana wa CHADEMA wameshamsahau kabla hata ya Kuzikwa.
 
Sasa mpinzani akishawaza positive atakuwa mpinzani au mwenza? Kazi yake ni kuonyesha upande mbaya wa upande mzuri wa wanachofanya serikali iliyopo madarakani. Na ndo kunaitwa kupinga.
 
Hujui maana ya neno opposition
 
Kwanza Kabisa nawapa pole Wafiwa, Pamoja na Wamiliki wa CHADEMA. Binafsi nimeona kuna Unafiki kwa baadhi ya Mashabiki wa CHADEMA ambapo wanahamasika sana kushabikia Vifo vya Viongozi hasa wakiwa wameuawa hata kama alikua wa Ngazi za Chini Kabisa Ni vizuri kwa Sababu binadamu hatuna grade (madaraja).

Ila hawa Vijana wanaonekana kupenda kusikia Viongozi wao wameuawa ndipo hujaza thread za Kila aina wao Habari Mbaya ndiyo nzuri kwao na Kuanza kuisingizia Serikali yenye Kazi nyingi kuwa imehusika.

Ushahidi reactions za kifo cha Mbunge Kasuku Samson Bilago Mbunge wa Buyungu ambaye vijana wa CHADEMA wameshamsahau kabla hata ya Kuzikwa.
Kijazayo moyo , ndio kimtokacho mtu, akili inakua imejaa hasi (negative), akili inakua imegandamizwa (dominated) na akili hasi na mawazo hasi, hivyo anajua hasi ndio halisi , kumbe chanya ndio halisi , upinzani sio kua hasi, ni kua na mbadala wa kile kilichopo, upinzani si kupiga kelele zisizo na tija, kukataa kila kitu , kutukana matusi kama mtu mwehu vile, ujue wengi wanafikiri ni wapinzani kumbe wamewehuka , wapinzani wapo wachache wanalijua hilo ila wanawatumia wehu kukamilisha matakwa yao.
 
Ushahidi reactions za kifo cha Mbunge Kasuku Samson Bilago Mbunge wa Buyungu ambaye vijana wa CHADEMA wameshamsahau kabla hata ya Kuzikwa.
Nalinganisha kichwa cha habari na yalimo ndani sioni uwiano-au ulitaka waseme kauwawa na serikali? Kila tokeo lina muktadha wake na sioni wapi wamemsahau marehemu huyo (RIP).
 
Najaribu kufufua uzi mfu,makamanda chama kina msiba au kisa aliekufa hatoki kanda ile!
 
always great thinkers judge things in two ways(+&-)! Ni rahisi kulizungumzia jambo ambalo ni positive au in positive way! Ila itahitaji akili ya ziada kuzungumza jambo ambalo ni negative au in negative way na ukaeleweka! Only CHADEMA can do it!
 
Back
Top Bottom