Hoshea
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 5,420
- 3,777
Hawanaha hojA most of the times, ni vihoja na born pessimistic peoplesWanakuja wewe kaa mkao wa kupingana kwa hoja
Hawanaha hojA most of the times, ni vihoja na born pessimistic peoplesWanakuja wewe kaa mkao wa kupingana kwa hoja
Kwanza Kabisa nawapa pole Wafiwa, Pamoja na Wamiliki wa CHADEMA. Binafsi nimeona kuna Unafiki kwa baadhi ya Mashabiki wa CHADEMA ambapo wanahamasika sana kushabikia Vifo vya Viongozi hasa wakiwa wameuawa hata kama alikua wa Ngazi za Chini Kabisa Ni vizuri kwa Sababu binadamu hatuna grade (madaraja).
Ila hawa Vijana wanaonekana kupenda kusikia Viongozi wao wameuawa ndipo hujaza thread za Kila aina wao Habari Mbaya ndiyo nzuri kwao na Kuanza kuisingizia Serikali yenye Kazi nyingi kuwa imehusika.
Ushahidi reactions za kifo cha Mbunge Kasuku Samson Bilago Mbunge wa Buyungu ambaye vijana wa CHADEMA wameshamsahau kabla hata ya Kuzikwa.
SOUND STUPID.SHAME UPON YOUR F%$ckn FACE.Kwanza Kabisa nawapa pole Wafiwa, Pamoja na Wamiliki wa CHADEMA. Binafsi nimeona kuna Unafiki kwa baadhi ya Mashabiki wa CHADEMA ambapo wanahamasika sana kushabikia Vifo vya Viongozi hasa wakiwa wameuawa hata kama alikua wa Ngazi za Chini Kabisa Ni vizuri kwa Sababu binadamu hatuna grade (madaraja).
Ila hawa Vijana wanaonekana kupenda kusikia Viongozi wao wameuawa ndipo hujaza thread za Kila aina wao Habari Mbaya ndiyo nzuri kwao na Kuanza kuisingizia Serikali yenye Kazi nyingi kuwa imehusika.
Ushahidi reactions za kifo cha Mbunge Kasuku Samson Bilago Mbunge wa Buyungu ambaye vijana wa CHADEMA wameshamsahau kabla hata ya Kuzikwa.
Yaani mbwa alipewa thamani mpaka insta kisa huyu jina lake kasuku mmekunja ndita!wewe jamaa una akili ndogo mno sina hakika kama hata ni raia mwenzangu wa Tanzania. mbona .mpuuzi hivi?
Nafikiri yake ni ile kambi isiyovaa magwanda!Ni Wabagauzi tu, huyo Mbunge (RIP) siyo wa kwao kihivyo ndo maana wamempotezea!
Angalia habari za kifo chake kurasa chache tu!
One man's urine is another's perfume.Kwanza Kabisa nawapa pole Wafiwa, Pamoja na Wamiliki wa CHADEMA. Binafsi nimeona kuna Unafiki kwa baadhi ya Mashabiki wa CHADEMA ambapo wanahamasika sana kushabikia Vifo vya Viongozi hasa wakiwa wameuawa hata kama alikua wa Ngazi za Chini Kabisa Ni vizuri kwa Sababu binadamu hatuna grade (madaraja).
Ila hawa Vijana wanaonekana kupenda kusikia Viongozi wao wameuawa ndipo hujaza thread za Kila aina wao Habari Mbaya ndiyo nzuri kwao na Kuanza kuisingizia Serikali yenye Kazi nyingi kuwa imehusika.
Ushahidi reactions za kifo cha Mbunge Kasuku Samson Bilago Mbunge wa Buyungu ambaye vijana wa CHADEMA wameshamsahau kabla hata ya Kuzikwa.
ila usi wahukumu moja kwa moja ni pessimistic kuna mambo lazima wawaze hivyo mkuu ila sio kwa kila jambo kikubwa ni kuwajibu tuu bila kuaanza kuwachambua jinsi walivyooHawanaha hojA most of the times, ni vihoja na born pessimistic peoples
Ulikuaga Smart sana Chahali sijui kimekukumba nini? I wish you a speedy recovery!One man's urine is another's perfume.
One man's terrorist is another's freedom fighter.
Mngekuwa na mazuri ya kuyanadi kuhusu yenu msingahangaishwa na "mabaya" ya wenzenu. And that's neither rocket science nor brain surgery
Mbona polepole kafurahia kuwa eti jimbo liko wazi hata marehemu hajazikwaKwanza Kabisa nawapa pole Wafiwa, Pamoja na Wamiliki wa CHADEMA. Binafsi nimeona kuna Unafiki kwa baadhi ya Mashabiki wa CHADEMA ambapo wanahamasika sana kushabikia Vifo vya Viongozi hasa wakiwa wameuawa hata kama alikua wa Ngazi za Chini Kabisa Ni vizuri kwa Sababu binadamu hatuna grade (madaraja).