Kwanini upate shida ukiwa china

Takule Jr

Member
May 21, 2013
9
4
Mimi ni Mtanzania ninayeishi China. Mji wa Guangzhou,nimeishi hapa kwa muda wa miaka mitatu(3). Nina uwezo wa kuzungumza Kichina,Kiingereza na Kiswahili. Pia ninafahamu masoko mengi yenye bidhaa zinazouzwa Tanzania. Ninapokea order mbalimbali kutoka Tanzania kama:
1. Mobile Accessories
2. Stationary Equipments
3. Business Card and T.shirt Printing
4. Fashionable Clothing
5. Classic Men and Women Watches
6. Quality Mobile Phones such as;
-Samsung
-Htc
-iPhone
-Blackberry
-Nokia
-Sony
And all kind of Electronic Products,pia ninatoa huduma ya kutafsiri Lugha ya Kichina na Kutoa barua za mwaliko kwa wale wanaotaka kuja China.

Mobile No: +8613143366650
Email: charlzmallya@gmail.com
Add: Guangzhou, China
 
Sawa mwana-jf....kimsingi kama kijana na mwana jf nakupa big-up kwani umefanya la maana;lakini unawezaje kutumia fursa hiyo kwa kuwasaidia vijana wa kitz na hasa ktk kuwaonyesha fursa za huko na huku ukiwachaji kiasi kidogo....nayasema hayo kutokana na baadhi ya watanzania kuwa nakasumba ya kudai fedha nyingi kama takrima....je,kwa upande wako ikoje?
 
Nilitaka kusema hicho kitu mkuu, yaani wanawakamua kweli, baadhi ya kinamama/dada have been forced (by the created environment) to 'pay in kind'
 
hapana mkuu bei ni nafuu kabisa na kabla sijafanya kazi na mtu lazima kwanza tujadiliane malipo na namna ya utaratibu mzima unavyokuwa....basi kukiwa na maelewano ndo kazi inafanyika kwa umakini na kwa bei amabayo wewe utanufaika nayo kifaida.
 
Mimi ni Mtanzania ninayeishi China. Mji wa Guangzhou,nimeishi hapa kwa muda wa miaka mitatu(3). Nina uwezo wa kuzungumza Kichina,Kiingereza na Kiswahili. Pia ninafahamu masoko mengi yenye bidhaa zinazouzwa Tanzania. Ninapokea order mbalimbali kutoka Tanzania kama:
1. Mobile Accessories
2. Stationary Equipments
3. Business Card and T.shirt Printing
4. Fashionable Clothing
5. Classic Men and Women Watches
6. Quality Mobile Phones such as;
-Samsung
-Htc
-iPhone
-Blackberry
-Nokia
-Sony
And all kind of Electronic Products,pia ninatoa huduma ya kutafsiri Lugha ya Kichina na Kutoa barua za mwaliko kwa wale wanaotaka kuja China.

Mobile No: +8613143366650
Email: charlzmallya@gmail.com
Add: Guangzhou, China

Kikubwa ni uaminifu Mkuu!!...wewe ulienda kufanya nini hasa China?
Nahitaji LED displays, CCTV Cameras, Smartlocks zenye kutumia card kwa ajili ya Hotels. Ebu jaribu kunipa wastani wa bei kwa bidhaa hizo. LED displa nazozihitaji ni zile zenye kudisplay text picture and video, katika full color (bei kwa sqft), pia unaweza kuniangalizia bei za LED LIGHTS (viji-bulb pekeyake) kwa ajili ya kutengenezea LED Displays, pia bei ya controller zake! Inbox tuzungume biashara.
 
mimi ni mtanzania ninayeishi china. Mji wa guangzhou,nimeishi hapa kwa muda wa miaka mitatu(3). Nina uwezo wa kuzungumza kichina,kiingereza na kiswahili. Pia ninafahamu masoko mengi yenye bidhaa zinazouzwa tanzania. Ninapokea order mbalimbali kutoka tanzania kama:
1. Mobile accessories
2. Stationary equipments
3. Business card and t.shirt printing
4. Fashionable clothing
5. Classic men and women watches
6. Quality mobile phones such as;
-samsung
-htc
-iphone
-blackberry
-nokia
-sony
and all kind of electronic products,pia ninatoa huduma ya kutafsiri lugha ya kichina na kutoa barua za mwaliko kwa wale wanaotaka kuja china.
Mobile no: +8613143366650
email: charlzmallya@gmail.com
add: Guangzhou, china
mkuu namba 3 ni pm bei please na picha.
 
Mimi ni Mtanzania ninayeishi China. Mji wa Guangzhou,nimeishi hapa kwa muda wa miaka mitatu(3). Nina uwezo wa kuzungumza Kichina,Kiingereza na Kiswahili. Pia ninafahamu masoko mengi yenye bidhaa zinazouzwa Tanzania. Ninapokea orde
r mbalimbali kutoka Tanzania kama:
1. Mobile Accessories
2. Stationary Equipments
3. Business Card and T.shirt Printing
4. Fashionable Clothing
5. Classic Men and Women Watches
6. Quality Mobile Phones such as;
-Samsung
-Htc
-iPhone
-Blackberry
-Nokia
-Sony
And all kind of Electronic Products,pia ninatoa huduma ya kutafsiri Lugha ya Kichina na Kutoa barua za mwaliko kwa wale wanaotaka kuja China.

Mobile No: +8613143366650
Email: charlzmallya@gmail.com
Add: Guangzhou, China

Kwanza kabisa nakupa hongera kwa kuwa na moyo wa kujitolea kusaidia watanzania, pili mimi nina biashara tofauti sana na ulizozimention hapo juu.
Nakutumia email kwa mwasiliano zaidi
 
Mimi ni Mtanzania ninayeishi China. Mji wa Guangzhou,nimeishi hapa kwa muda wa miaka mitatu(3). Nina uwezo wa kuzungumza Kichina,Kiingereza na Kiswahili. Pia ninafahamu masoko mengi yenye bidhaa zinazouzwa Tanzania. Ninapokea order mbalimbali kutoka Tanzania kama:
1. Mobile Accessories
2. Stationary Equipments
3. Business Card and T.shirt Printing
4. Fashionable Clothing
5. Classic Men and Women Watches
6. Quality Mobile Phones such as;
-Samsung
-Htc
-iPhone
-Blackberry
-Nokia
-Sony
And all kind of Electronic Products,pia ninatoa huduma ya kutafsiri Lugha ya Kichina na Kutoa barua za mwaliko kwa wale wanaotaka kuja China.

Mobile No: +8613143366650
Email: charlzmallya@gmail.com
Add: Guangzhou, China

Nataka jenga nyumba yangu. Finishing materials nije china nikusanye niweke kwenye container nilete Dar. Je hapo utasaidiaje?
 
nikija china please utanisaidia kunionyesha hotel za buku 5!just kidding!kiongozi nitakupigia kwa maswali kadhaa au kuku-email

barikiwa sana
 
nimekusoma hapo kaka...unaweza ukani inbox kwa kupitia email yangu pia unaweza chagua logo yako ya tshirt au ukadesign namna unataka business card yako iwe au ukaandika vitu unavyodeal navyo halafu ukatuma mm nikatoa sample nikakuonyesha kwa email yako
 
Hapo inawezekana kwani kuna soko linaitwa Foshan huko tutapata finishing materials zote za nyumba bila kusahau furnitures na kwa bei nafuu.....naomba unitumie email mkuu....charlzmallya@gmail.com......Nashukuru sana
 
huu mji ninaoishi ni Guangzhou....naweza nikasema ni mji mama kwa nchi ya China na unachangia kwa kiasi kikubwa sana uchumi wa China....Guangzhou ni mji wenye viwanda vingi na masoko mengi yenye kila aina ya bidhaa ambazo si tu zinakuja barani Africa bali hata zinaenda katika mabara mengine kama America,Europe nk....na bei ya vitu hapa ni nafuu sana kwasababu ya wingi wa masoko na viwanda vilivyopo hapa Guangzhou......Nashukuru sana.
 
Nashukuru Takule Jr kwa ufafanuzi wako mzuri, nitakutafuta kuna vitu navihitaji.
 
huu mji ninaoishi ni Guangzhou....naweza nikasema ni mji mama kwa nchi ya China na unachangia kwa kiasi kikubwa sana uchumi wa China....Guangzhou ni mji wenye viwanda vingi na masoko mengi yenye kila aina ya bidhaa ambazo si tu zinakuja barani Africa bali hata zinaenda katika mabara mengine kama America,Europe nk....na bei ya vitu hapa ni nafuu sana kwasababu ya wingi wa masoko na viwanda vilivyopo hapa Guangzhou......Nashukuru sana.

samahani mkuuu huku nyumbani kuna hofu imeshajengeka kuwa bidhaa za kichina ni feki, mbovu na hazidumu. Je ni kweli wafanyabiashara wa Kitanzania huwa wanaenda kuokoteza bidhaaa hafifu za bei cheee ambazo ni bandia ili waje kupata superprofit????? ama bidhaaa zooote za kichina ndo ziko hivihivi tunavyoziona hapa bongo??? nieleweshe mkuuu kwanini
 
kwa sasa nchi nyingi hasa zilizoendelea zinafanya biashara na china. Na China wanalitambua hilo. Kuhusu bidhaa zilizo chini ya kiwango zinazoingizwa Tanzania na Nchi nyingine hiyo biashara inafanyika kwa usiri mkubwa. [kimagendo] na serikali ya China kwa sasa iko makini na hilo. Ikiwa watakamata bidha bandia na iliyo chini ya kiwango katika container lako hata kama ni kidogo mali yote inataifishwa na wewe utachukuliwa hatua kali. Nchi ya China kwa sasa wanafanya biashara za mabilioni ya dollar na wako makini na watu wachache wanaoharibu sifa yao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom