The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,535
Unatumia simu ya kitochi Mkubwa? Siyo voice note, ni video ya sauti bila picha iko attached juu mwanzo wa madaVoicenote iko wapi na wewe. Utapasuliwa.
Natumia 4g Smart kitochiUnatumia simu ya kitochi Mkubwa? Siyo voice note, ni video ya sauti bila picha iko attached juu mwanzo wa mada
mbona iko hapo juu mkuu na iko fresh tuVoicenote iko wapi na wewe. Utapasuliwa.
Wakitupa taulo tutakataa , ngoma iendelee hadi mwisho tuendelee kuwaanika hadharani .Mambo moto, kesi imefikia patamu na hivi ni usikilizajwi wa kesi kwa mfululizo bila kusitishwa, basi mengi yataibuka labda upande wa mashtaka / jamhuri ukiamua kutupa taulo ktk ulingo wa mpambano wa kisheria la kuomba pambano lifutwe kabisa kwa manufaa mapana ya umma.
Naona shahidi amemjumlisha jambazi oc cid wa Arumeru.. JumanneWameaibika hao
CCM imeshindwa kuwaelewa Lissu na Mbowe kwani kila wanayowatendea wao wanatabasamu tu, hawakasiriki, hicho ndicho kinachowaudhi.Je MBOWE ni threat kiasi gani kwa CCM?
ujinga ni kudhani haki ya mbowe inatazamiwa kupatikana mahakamani.CCM na mawakala wao polisi hawatoboi kwenye hii kesi! The light at the end of the tunnel is obvious! Wamtegemeao Bwana ni kama mlima Sayuni!
... haijapata kuandikwa BWANA hufanya njia pasipo na njia? Neno hili limetoka kwa BWANA nalo ni ajabu machoni petu!ujinga ni kudhani haki ya mbowe inatazamiwa kupatikana mahakamani.
hizi hizi mahakama msizoziamini!!!
Na hapa bado wanahangaika na washitakiwa wale watatu peke yao hata hawajamfikia mshtakiwa wa nne ambaye ndiye mwamsha dude hili, yaani Freeman Mbowe...Hii kesi imeenda kuufungua utawala wa Tanzania uonekane duniani jinsi unavyoingilia vyombo vya ulinzi na usalama kwa manufaa ya chama tawala.
Hawa jamaa wanaopewa hizi kazi za utetezi wanapata tabu sana kupanga uongo wao ufanane na ukweli, wakati nasoma maelezo ya Kingai ikanijia picha inawezekana alikuwa hajui chochote akakurupushwa tu na mkubwa wake wa kazi aende kutoa ushahidi.
Najiuliza kama kweli jamhuri walikuwa na interest na hii kesi, kwanini walisubiri mpaka Mbowe alipoanza kuidai Katiba Mpya ndio wamkamate na kumshikilia mahabusu? kwanini wasingemkamata baada ya upelelezi wao kukamilikia wampeleke mahakamani?
Kumbe jamhuri nao inawezekana wana tabia ya kuwaficha "wahalifu", mpaka pale wanapogusa maslahi yao kisiasa ndio wanaanza kuwashughulikia kwa lengo la kuwafunga mdomo, hii serikali ya namna hii haitufai, itatuangamiza kama taifa.