Kwanini ununue mboga? fuga kambale nyumbani kwako kwa kutumia nailoni tu

Kua
-------- ataendelea kuwa -------- umesoma kabisa hapo pameandikwa Njozi ikimaanisha ni ndoto!! kha! Maandishi hayawezi kubadilishwa kwa Ndoto za Petro... ----- we...! hizo zilikuwa ni Propaganda za Roman empire wakilazisha washika dini wavuruge utaratibu ili nchi itulie.. Maandiko ya Musa hayabadilishwi kwa Ndoto pole sana Koran tu ndio imewaambia muoe wake wanne kasoro mwamedi yeye aoe zaidi hadi vitoto....
Kuanzisha ugomvi wa kidini kwenye uzi wa watu ni utoto.
 
Kua

Kuanzisha ugomvi wa kidini kwenye uzi wa watu ni utoto.
Toka lini ukweli ukawa ni Ugomvi? me huwa naongea mambo halisi na sio mbabaishaji... hoja hujibiwa kwa hoja acha viroja ndugu
 
Kwani haliwi,kama huli wengine wala,hata maharage wengine hawayali
Hata Kula Kibogo imekatazwa lakini wengine wanakula..... nadhani umeelewa nini namaanisha... so kasome vizuri maandiko yenu ya Dini zenu zinawaelekeza nini? fanyeni practical za dini inavyotaka... ndio maana mmewekwa wazi kuwa watakao kwenda mbinguni ni wachache sana na tena ni makabila ya waislaeli kila kabila litatoa watu kumi na mbili elfu so jumla ya wote ni laki moja na 44 elfu... tena wale Watakatifu.... Jipime unautakatifu wowote wewe?
 
S
sisi sio wazungu wa israel wenye bibilia yao,sisi tunakula tu hasa huku mahenge ni mboga kubwa na nono.habari za israel waambieni waisrael
Sasa kama hutaki watu wengine hata wewe si mtu wangu pia endeleza ulaji wako.... sikuzuii
 
Toka lini ukweli ukawa ni Ugomvi? me huwa naongea mambo halisi na sio mbabaishaji... hoja hujibiwa kwa hoja acha viroja ndugu
sio kila ukweli husemwa kila pahali tena kwa lugha chonganishi,hata kama ni ukweli ushushe kwa hikima basi.halafu hii mada ni ya kambale sio ya dini.
 
Mkuu appoh wazo zuri sana nina wafanyakazi wangu wapo shamba maeneo ya Kabuku wanakula dagaa kama hawana akili nzuri kila baada ya wiki wananitwangia simu mboga imeisha sasa naelekea kupata utatuzi wa mboga tafadhali nitumie michoro na jinsi ya kuwapata hawa vifaranga wa kambare nitahitaji kama 20 hivi kwa kuanzia.
Mkuu hapo red nimecheka sana.... hao ni ndugu wa hawa wa kwangu??? Sijawahi kuona waha wanakula namna ile. Dah!
 
sio kila ukweli husemwa kila pahali tena kwa lugha chonganishi,hata kama ni ukweli ushushe kwa hikima basi.halafu hii mada ni ya kambale sio ya dini.
Si Ndio mnaamini kila kitu kipo kwenye dini? na hizo hekima unaziona wewe kama zipo au hakuna... ila vitu vingi vilivyokatazwa na dini karibu vyote vina madhara... mbona Kunguru kakatazwa lakini huli au kupigia debe waliwe... naye pia ni kundi moja lililokatazwa kuliwa na dini zenu.... umechagua kambale tu umle...
 
sasa mimi binadamu mmoja nichague kila kitu,halafu mimi sina dini.
 
Wakuu tayari nimeshamaliza zoezi la uchimbaji bwawa hope mvua za masika nitapata vifaranga wa Kambare kama yupo mdau tafadhali sana aniunganishe mapema.
 
mkuu mi nahitaji sasa ila niko Arusha naomba tuwasiliane 0622000900 au nipe ya kwako
 
jinsi ya kufanya unanunua nailoni gumu yapo kariakoo
unaliweka kwa kulichimbia au kulitafutia uzio kama mawe au matofali pembeni kisha unajaza matope au maji

kisha unaweka kambale wako amabao baada ya mwezi wataanza kuzaliana kwa kasi na kukua haraka
chakula chao ni mabaki ya chakula chako kama
ugali,mboga ,ukoko ,na nk

nauza kambale hao ambao wataanza kuzaa mda sio mrefu kwa shilingi 1500 kwa mmoja na kuendelea kutokana na ukubwa wake
Hivi ni kwanini watanzania mnakuwa waongo kiasi hiki. Ni kambale gani ambaye anaweza zaliana katika mazingira ya captivity?
 
Walevi na warafi wala nyama najisi. Samaki wasio na magamba na mapezi usile una najisi hekalu la roho wa Mungu ( your body is the temple of the holly spirit any body who defeals his body destroys the temple of the holly spirit)
Walao machukizo nguruwe nao panya watakomeshwa siku ya mwisho. Bwana asema yeye alitununua kwa thamani kubwa tuishi kwa kuongozwa naye.
Soma MAMBO YA WALAWI 11 kwa maelezo zaidj
We jamaa mpumbavu kweli kwanini hutaki kuheshimu Uhuru wa mwenzio.Jamaa kaanzisha Uzi wake kwa ajili ya walengwa wake,halafu we unaanza kuleta hadithi zako.kwanini usingeanzisha Uzi wako.Ukaelezea Kambale alivyo haramu. Watu kama nyie mnakera sana .
 
Kweli wapo watu husema vitu vitamu hutoka katika uchafu..
au vitu vichafu hutoka katika usafi/utamu..

watu wema hutoka katika wabaya na kadhalika'

Swali langu ni je?

baada ya kununua hiyo nailoni kuichimbia chini na kujaza maji je utaratibu wa kubadili maji unakuwaje? unaongeza kila baada ya muda gani?
 
We jamaa mpumbavu kweli kwanini hutaki kuheshimu Uhuru wa mwenzio.Jamaa kaanzisha Uzi wake kwa ajili ya walengwa wake,halafu we unaanza kuleta hadithi zako.kwanini usingeanzisha Uzi wako.Ukaelezea Kambale alivyo haramu. Watu kama nyie mnakera sana .
 
ukimpa chakula mwezi mmoja na nusu mpaka miwili anafikia nusu mita ila kwa mwezi unaweza kumla maana anakua kama na inchi kumi
Mkuu hapo kwenye 'nusu mita' nafikiri ni makosa ya uchapaji,nisahihishe kama nimekosea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom