Kwanini unidanganye? Sasa kiko wapi?

Eti tasnia ya kiume
Hahahaha

Yaan nimecheka ile mbaya
Sisi watu wa echijielo tulifundshwa kwamba lugha inakua.

labda lugha yetu sasa imefikia wakat wa kubalehe ndio tunapata tafsiri mpya kama hizo [emoji2][emoji2][emoji2]
 

Hahahahhah walaah humu ndani kuna vitukooo ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…