Kwanini unidanganye? Sasa kiko wapi?

Hayo ya madau. Ushawahi kuona mtu hana kazi wala biashara anadanga tu mjini ila anaenda kwa bwana anaanza kuongelea biashara yake ya TZS 500M na anaomba apigwe tafu kwa kuongezewa 100M na anapewa? [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahah
Kuna jamaa eti kasema anaibisha tasnia ya kiume[emoji23] [emoji23]

Hivi uanaume ni tasnia !!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anaibisha wanaume wenzie anavyolia lia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…