Kwanini ung'atwe ovyo!!

Kung'atwa kivipi mkuu? Wakati kugegeda?
 
Wew waingize wenzako mkenge tu wakaishie kuiba waume za watu umri ukisonga.
 
Unawadanganya wenzako wasepe ili wewe uwahi kuchukua form kwenye uchaguzi Mdogo wa kujaza nafasi ya jimbo lililoachwa wazi!! Watoto watakusikiliza lakini wenye nazo kichwani watakuambia "utasubiri Sana hatoki mtu jimboni"!
 
Achana na wanaume wa siku hizi! maana wanaume makini gentleman! tunahesabika siku hizi, ujue kutofautisha kati ya red color na orange! enjoy your night!
 
kupendwa kung'atwa ovyo,ni hulka ya mwanamke alie-nyege-ka kung'atwa ovyo! mashine yako mwenyewe utapangiwaje mda wa kuipima oil?!
 
Ungetaka Mungu akupe wa kufanana naye ungetulia kuliko kuruka ruka, umerukaruka wee hata aliyekutoa bikira humfahamu baada ya mambo kukushinda ndo uanze kusingizia Mungu atakupa Mungu atakupa, ushaambiwa Mungu anagawa kwa vibovu?
 


Mwanamke hatakiwi kubembelezwa kama unavyotaka wewe, usijidanganye na tamthilia za Kikorea.....mwanamke ni wa kutumikishwa tu kisha anaachwa solemba.
 
Hata utaekutana nae tena ana badness side yake it mean we unafundisha watu kutanga tanga.Pambana kwanza na tatizo then ukiona limekushinda kimbia.
 
Achana na wanaume wa siku hizi! maana wanaume makini gentleman! tunahesabika siku hizi, ujue kutofautisha kati ya red color na orange! enjoy your night!
safi best wewe ndo umeongea wengine wamekuja kutoa mapovu shurti wanagwaya ka peremende hheheheheheiyaaaaaaa
 
mkimaliza kuyatoa mapovu yenu nawaletea cha kuwawekea sabuni ndo nione kama mtayanywa au mtatapika tena heheheheheiyaaaaaaaaaaaaaa😉😉😉😉
 
Yapo yanayovumilika na yapo yasiyovumilika. Na level za uvumilivu nazo zinatofautiana, kwa mmoja laweza kuwa dogo kwa mwingine dogo hilo hilo linamshinda. Juzi juzi hapa kuna mkaka alisimangwa weee…kwa kujiua kwa issue za mapenzi, wapo walioona kama jambo lile halikustahili kifo ilihali marehemu yeye kwake aliliona zito hadi kupelekea kujitoa uhai….
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…