Mkuu mpaka tunakutana face to face hayo ni matokeo ya appointment ambazo tumezipanga kabla! Jamani nitaanzia wapi ku-rquest date kama hatupo mazingira ya karibu karibu? Yaani nikuone tu barabarani nianze ooh
Lisa mimi nakupenda, kweli hata kunipa nafasi ya kunisikiliza utanipa kweli nyie wanawake wa siku hizi? kwahiyo hayo ya online ni pre-approach then hayo ya face to face yatafuata! By the way naomba account yako ya facebook
Lisa