Umecheki ee, usipime kabisa mzee.....halafu mbaya zaidi iwe mtu unae onana nae kila siku.....we acha tu
Oops, now.i understand something.
Ila iwe hivyo jamani? Mapenzi si uadui. Kwani ukikataliwa unakufa?
hapa ndio pagumu sana na nilishawahi fika hatua hii wakati story za utangulizi zikiendelea na ku exceed limit dem ikabidi aniambie nistick kwenye agenda niliyomuitia, jasho mwili mzimana siku ukifanya appointment na binti ili umwambie kadri mda unavyokaribia ndo unazidi kujilaumu kwanini ulimwambia muonane na what if akakutosa mtaangalianaje haaaa haaaaa
Bado sielewi ni kwanini baadhi ya wanaume wanajawa na hofu sana wakati wa kumtongoza mdada kwa mala ya kwanza. hofu yako ndio kushidwa kwako. hakuna haja ya kujawa na hofu mambo ni rahisi usipokuwa na hofu.hapa ndio pagumu sana na nilishawahi fika hatua hii wakati story za utangulizi zikiendelea na ku exceed limit dem ikabidi aniambie nistick kwenye agenda niliyomuitia, jasho mwili mzima
Tatizo sometimes kina dada wengi wanadhani wanaume wote tuna nia ya kuwachezea, yaani unakuta mtu salamu tu kwanza hajibu, hapo jiulize kama moja tu haisogei hii mbili utaingiza vipi?.........na sasa hapo ukisema ukomae tu kumuongelesha utaona shughuli yake.............utatupiwa neno hilo mpaka utatamani kuingiza uso mfukoni kwa aibu......hapo sasa kama ndio mtu unasomanae labda chuoni utaona shuguli yake, wataambina wote humo class halafu uone utakavyo onekana katuni
Sister we acha tu, yani mngejua mnavyotusumbuaga nyie wakina dada
That is true.Tatizo sometimes kina dada wengi wanadhani wanaume wote tuna nia ya kuwachezea, yaani unakuta mtu salamu tu kwanza hajibu, hapo jiulize kama moja tu haisogei hii mbili utaingiza vipi?.........na sasa hapo ukisema ukomae tu kumuongelesha utaona shughuli yake.............utatupiwa neno hilo mpaka utatamani kuingiza uso mfukoni kwa aibu......hapo sasa kama ndio mtu unasomanae labda chuoni utaona shuguli yake, wataambina wote humo class halafu uone utakavyo onekana katuni
Sister we acha tu, yani mngejua mnavyotusumbuaga nyie wakina dada
kama kuna kitu ambacho nimeshindwa kabisa kukielewa ktk dunia hii basi ni wanawake!!nimejitahidi kuwaelewa ila kila ninachokisoma kwa viumbe hawa kinaniweka mbali zaidi nao,mf unapomsalimia mwanamke kisha akakuangalia vibaya bila kukujibu chochote,mwanafunzi mwenzio wa chuo/shule/darasa moja,ukikutana naye mtaani hataki hata ile salamu yako,ukifikiri labda hajasikia salam yako ndiyo unakosea zaidi,kwani ukirudia tena utaishia kutukanwa au kutupiwa maneno machafu,imagine ndio upo mtaa watu kibao halafu yanakukuta hayo!!!? Ki ukweli kila wazo la mwanamke linapokuja kichwani mwangu huwa linaambatana na hasira pamoja na chuki nyingi mno,nawachukia hata ndugu zangu wa jinsia hiyo,wakitaabika mimi huwa nasikia raha sana,nawaona kama mashetani fulani wasio na roho ya upendo,wasio na dira,wala wasio focus mustakabali wa maisha ya jamii kwa ujumla,ila kwa uwezo wa mungu viumbe hawa wamefanywa kuwa waj--ga,hivyo hushtukia ukweli wakati wakiwa tayyari na matatizo makubwa,wanapohitaji msaada,wanapokosa namna nyingine yoyote ya kujiinua ndipo wanapoonekana kama malaika,nawachukia wanawake,nawanunuaga tu kwa matumizi ya muda mfupi na kuachana nao haraka samahani kama nimemkwaza yeyote,huo ndiyo ukweli au labda ni ugonjwa nisioujua.
Mimi nadhani hili swali lingegeuzwa yaani ikawa wanaulizwa wanawake/wasichana kwanini wanakuwa wagumu kusema yaliyo moyoni kwa wanaume/wavulana, kwasababu sitaki kuamini kwamba karne hii kuna tatizo kubwa la mvulana kumtongoza mwanamke!! Ulimwengu huu wa facebook na twitter kweli bado kidume ushindwe kujimwaga kwa mrembo?lazima utakuwa na walakini.
Tatizo sometimes kina dada wengi wanadhani wanaume wote tuna nia ya kuwachezea, yaani unakuta mtu salamu tu kwanza hajibu, hapo jiulize kama moja tu haisogei hii mbili utaingiza vipi?.........na sasa hapo ukisema ukomae tu kumuongelesha utaona shughuli yake.............utatupiwa neno hilo mpaka utatamani kuingiza uso mfukoni kwa aibu......hapo sasa kama ndio mtu unasomanae labda chuoni utaona shuguli yake, wataambina wote humo class halafu uone utakavyo onekana katuni
Sister we acha tu, yani mngejua mnavyotusumbuaga nyie wakina dada
Tatizo sometimes kina dada wengi wanadhani wanaume wote tuna nia ya kuwachezea, yaani unakuta mtu salamu tu kwanza hajibu, hapo jiulize kama moja tu haisogei hii mbili utaingiza vipi?.........na sasa hapo ukisema ukomae tu kumuongelesha utaona shughuli yake.............utatupiwa neno hilo mpaka utatamani kuingiza uso mfukoni kwa aibu......hapo sasa kama ndio mtu unasomanae labda chuoni utaona shuguli yake, wataambina wote humo class halafu uone utakavyo onekana katuni
Sister we acha tu, yani mngejua mnavyotusumbuaga nyie wakina dada
kha! we dada Lisa mkali, unataka kumuona laivu akimwaga sera ndio utamwamini sio? nipe namba yako basi ili tuonane nikupe mistari mieRaha ya kutongozwa ni face to face, siyo face book wala twitter, kwanza mm naona kama vile umenidhalilisha ukinitongozea online, najiona kama umenishusha thamani na kuniona kama changu nisiye rasmi. anyway sujui ila mm napenda nikuone unachoongea na pale ndiyo napata ukweli kama unamaanisha.
kha! we dada Lisa mkali, unataka kumuona laivu akimwaga sera ndio utamwamini sio? nipe namba yako basi ili tuonane nikupe mistari mie