Huyo sio mke, ongea na moyo wako kwamba ulikosea, nenda kwao kiume mwambie umekubali matokeo ila utakuwa unahudumia wanao na utakuwa responsible muda wote, then mtakie kila la heri then chapa lapa, kaa mwezi mmoja ukiona hajakutafuta tena tafuta mwanamke mwingine, safari hii utumie kichwa cha juu umpate mke mwenye akili. Kheri ya mwaka mpya!!!!Mimi siku zote humsamehe ila yeye hufutuka, kuna siku alilalamika hana nguo nikamuambia nitakununulia mwisho wa mwezi kwani hali ya maisha sio sawa akalalamika nikamuambia mbona mambo yalipokuwa safi ulikua husemi nakununulia basi alisema nimemsumbulia na akavhukuq nguo zote nilizomnunuliq na kuzipeleka kwa mama angu kwangu lilikuq tusi kubwa ila nilimsamehe
We lete dem nyumban kwako majiran wakiona wata mwambia mkeo na lazima mkeo atakujaHabari Waungwana
Najuwa wapo watakaonibeza na kunidharau ila haya yalionikuta usiombe yakufike yasikie tuu kwa mwenzako maana mzigo wa mwenzako ni polo la usufi.
Naamini hakuna mahusiano ambayo hayana Changamoto ila mengine Kiboko siku ya 30/12/2020 nimeachwa na mke wangu bila ya sababu ya msingi na kuondoka na watoto wangu 2 ambao mmoja yuko na miaka 5 na mwengine ni miaka 2. Kwa hakika ni kuwa hakuna kosa la msingi tulipishana na lugha tuuu akanuna kwa siku 3 nikimpigia simu asubuhi hapokei na mimi nilikua safarini basi na mimi kama hakupokea simu humtumia sms na kumpigia tena siku itayofuata asubuhi.
Baada ya siku tatu nilisikia kutoka kwa ndugu wa familia kuwa mke wako anakunja vyombo nikajibu sawa ila baada ya muda alinitumia sms kuwa siku inayofuata atondoka na mimi sikujibu, akanipigia simu akaniuliza hivi "kesho mimi naondoka mchana unataka nikuachie kitu gani chako nisikichukue" na mimi nikamjibu " niachie wanangu tuuu " akasema kuwa hatowaacha siku iliyofuata nilifunga safari kurudi nyumbani saa 10 za jioni nilimkuta ameshavaa yeye na watoto kwa ajili ya safari nikamuita ndani na kumuliza kwa nini unaondoka akajibu kuwa nimemtolea jeuri nikamuambia basi yaishe akagoma na akaondoka na wanangu. Ndani amekunja nguo zake zote na za wanawe, chumbani kaacha vyombo tuuu kasema atakuja kufuata siku nyengine.
Naomba ushauri wenu kwa hakika bado namuhitaji hasa siwezi kuwa mbali na wanangu, wengine wanasema nimpotezee tuuu na watoto wakikua watanitafuta ila moyo wangu haukubali, nimesema nimpelekee chakula maana kwao sio safi sana wengine wanasema nisimpelekee ili ajifunze maisha kwa hakika niko njiia panda usiku umekua mkubwa nipeni mawazo.
Natanguliza shukrani
Ikawaje?Kapata mwanaume mwingine huyo mm Ilishanitokea na kwa kua mchezo mzima Nilishapewa kutoka kwa rafik yake sikuumiza kichwa kabisa .
Mwanamke mwenye mtoto anaondoka anaenda wapi, Huko anatest maji tu, mkuu jaribu kuangalia kama umepunguza upendo kwa wife wako au kuna namna unamsumbua jirekebishe alafu MPE muda tu huko alipo watamchoka , mwache kidogo ajifunze dunia ilivyo kuna mambo huwa wanaona in rahisi rahisi sababu kuna mwanaume wa kushugulikia wewe tulia tu atarudisha majeshi huyo
Umenena mkuu, mimi wangu nae alifanya hivyo hivyo yapata miaka nane imepita.Basi Acha nikupe Hali halisi.
It seems sasa hivi hapo home maisha yameyumba kidogo... Ambayo ni kawaida na hasa kwa mwaka huu.
Sasa inabidi ujikaze kiume hata kama unampenda for the sake of the kids. Ukimuendekeza kuwa anaondoka Kila mara watakaoteseka Ni wanao sababu itawakosti Hadi shule.
So nakushauri ujikaze. Kata mawasiliano na yeye. Usimpigie, usimtext, mkaushie. Hela ya matumizi mtumie then kausha. Uchune kabisa. Akikupigia pokea lakini make it short na kuhusu watoto tu. Then kata na akipiga usipokee tena.
Kwao usiende eti kumfata arudi. Acha akae akili atarudi mwenyewe. Bahati nzuri watoto bado wadogo.
Mwanamke ganii unataka kumnyanyansa mumeo kisa ameyumba kimaisha. Uchukue nguo alizokununulia kweli umpelekee Mamake mzazi? With no shame at all? Sio sahihi.
Man Up ndugu! For the sake of your kids. Weka mapenzi pembeni.