mahirtwahir
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 614
- 322
- Thread starter
-
- #41
All the best. Mlipoambiwa kuishi na sisi kwa akili Ni kwa sababu Muumba wetu anatujua
Acha dharau na kejeli, kama huwezi kutoa ushauri piga kimyaa cha habar za kishamba kukejeri watu; sijapenda kumuita mwenzako hajielewiiKwa maelezo haya sizan km wewe Ni mwanaume unayejielewa
Wewe jifanye hayo yote huyajui. Anajua kabisa unajali na utamfata na ndio maana kakulia timing anajua shule zinafunguliwa. Wewe kausha. Tena ikiwezekana hata simu usipokee tuma mahitaji tu. Akikupigia Ma Mkwe pokea ongea nae fresh akikuuliza mwambie huwezi mfata sababu hujamfukuza na hata hivyo umeona amuache apumzike kwao.Kweli dada angu nashkuru kwa kujua wakati ninaoupitia kwa sasa mtoto wangu yuko nasar anaingia nasari 2 mwaka huuu kaenda nae kwao inabidi amtafutie shule
Pole sana ndugu haya mambo yapo hata Mimi yalinikuta, nilikua na mke wangu na mtoto mmoja nilimpenda sana mke wangu ila ndio akaondoka.. Nachoshukuru mtoto hakuondoka nae ndio imebaki faraja yangu.Habari Waungwana
Najuwa apo watakaonibeza na kunidharau ila haya yalionikuta usiombe yakufike yasikie tuu kwa mwenzako maana mzigo wa mmwenzako ni polo la usufi.
Naamini hakuna mahusiano ambayo hayana Changamoto ila mengine Kiboko siku ya 30/12/2020 nimeachwa na mke wangu bila ya sababu ya msingi na kuondoka na watotot wangu 2 ambao mmoja yuko na miaka 5 na mwengine ni miaka 2 kwa hakika ni kua hakuna kosa la msingi tulipishana nalugha tuuu akanuna kwa siku 3 nikimpigia simu asubuhi hapokei na mimi nilikua safarini basi na mimi kama hakupokea simu humtumia sms na kumpigia tena siku itayoffuta asubuhi baada ya siku tatu nilisikia kutoka kwa ndugu wa familia kua mke wako anakunja vyombo nikajibu sawa ila baada ya muda alinitumia sms kua siku inayofuata atondoka na mimi sikujibu akanipigia simu akaniuliza hivi "kesho mimi naondoka mchana unataka nikuachie kitu gani chako nisikichukuwe" na mimi nikamjibu " niachie wanangu tuuu " akasea kua hatowaacha siku iliofuata nilifunga safari kurudi nyumbani saa 10 za jioni nilimkuta ameshavaa yeye na watoto kwa ajili ya safari nikamuita ndani na kumuliza kwa nini unaondoka akajibu kua nimemtolea jeuri nikamuambia basi yaishe akagoma na akaondoka na wanangu.
ndani amekunja nguo zake zote na za wanawe chumbani kawacha vvyombo tuuu kasema atakuja kufuata siku nyengine.
naomba ushauri wenu kwa hakika bado namuhitaji hasa siwezi kua mbali na wanangu wengine wanasema nimpotezee tuuu na watoto wakikua watanitafuta ila moyo wangu haukubali nimesema nimpelekee chakula maana kwao sio safi sana wengine wanasema nisimpelekee ili ajifunze maisha kwa hakika niko njiia panda usiku umekua mkubwa nipeni mawazo
natanguliza shukrani
Sawa. Cha kwanza. Shirikisha familiyako ili papatikane kikao cha pamoja kisha yatajulikana mbichi na mbivu. Kama kikao hakijafua dafu. Basi Unitafute pm ntamrudisha kwa uwezo wa mwenyezimgu. ila kunifwata pm ni lazma umefanya jitahidi zote kimeshidikana. Ndo ntakupitisha ktk njia mbadala.Ni mke wangu wa ndoa tena halali kabisa
Hapa ndio umeshamaliza kila kitu, lazima achukue ushauri huu full stop!!Basi Acha nikupe Hali halisi.
It seems sasa hivi hapo home maisha yameyumba kidogo... Ambayo ni kawaida na hasa kwa mwaka huu.
Sasa inabidi ujikaze kiume hata Kama unampenda for the sake of the kids. Ukimuendekeza kuwa anaondoka Kila Mara watakaoteseka Ni wanao sababu itawakosti Hadi shule.
So nakushauri ujikaze. Kata mawasiliano na yeye. Usimpigie, usimtext, mkaushie. Hela ya matumizi mtumie then kausha. Uchune kabisa. Akikupigia pokea lakini make it short na kuhusu watoto tu. Then kata na akipiga usipokee tena.
Kwao usiende eti kumfata arudi. Acha akae akili atarudi mwenyewe. Bahati nzuri watoto bado wadogo.
Mwanamke ganii unataka kumnyayansa mumeo kisa ameyumba kimaisha. Uchukue nguo alizokununulia kweli umpelekee Mamake mzazi? With no shame at all? Sio sahihi.
Man Up ndugu! For the sake of your kids. Weka mapenzi pembeni.
Usiiambie nafsi eti utajaribu, please fanya, hii si kwa wanao tu bali pia hata kwako itakufanya u relax lasivyo ukiendelea kuweka mapenzi mbele utakufa bro, kama siyo basi ugonjwa wa DYSANIA utakunyemelea kisha ushindwe kufanya mambo ya KIUCHUMI, be strong enough !!Kaka nimekuelew vizuri sana nitajaribu kiongozi
PointWewe jifanye hayo yote huyajui. Anajua kabisa unajali na utamfata na ndo maana kakulia timing anajua shule zinafunguliwa. Wewe kausha. Tena ikiwezekana hata simu usipokee tuma mahitaji tu. Akikupigia Ma Mkwe pokea ongea nae fresh akikuuliza mwambie huwezi mfata sababu hujamfukuza na hata hivyo umeona amuache apumzike kwao.
Wewe ni muislam ?If Yes mwambie unaoa wife no 2.Uone atasemaje.
Kama wewe ni mkristo basi piga kimya kimya. Mtumie pesa za matumizi tu,ukipiga simu ni kusalimia wanao tu.Atarudi mwenyewe.
Safi sana naona hata ninyi hamjakubaliana na alichofanya mwenzenu.Wewe jifanye hayo yote huyajui. Anajua kabisa unajali na utamfata na ndo maana kakulia timing anajua shule zinafunguliwa. Wewe kausha. Tena ikiwezekana hata simu usipokee tuma mahitaji tu. Akikupigia Ma Mkwe pokea ongea nae fresh akikuuliza mwambie huwezi mfata sababu hujamfukuza na hata hivyo umeona amuache apumzike kwao.
Sema mkuu mwanamke wa hivi ni pasua kichwa.Pambana Mkuu usikubali kupoteza ndoa yako na watoto kirahisi rahisi hivyo. Kutofautina lugha kwa mume na mke si kitu cha ajabu lakini haiwi chanzo cha kufunga virago ili kuivunja ndoa hasa ukitilia maana ni bado unampenda mkeo na kutaka kuendelea na ndoa yenu. Huyo anatingisha kibiriti ili kuona kina unazidi upi. Tuhabarishe kinachoendelea
Huyo hana lolote atarudi mwenyewe,Asante mkuuu nitajitahidi kusema na moyo wangu ila mioyo ikisahauliana ni bigumu kurudisha penzi la kweli
ukifata maelezo haya... hamalizi siku 30 anarudi mwenyewe kwa magoti[emoji91][emoji91]Basi Acha nikupe Hali halisi.
It seems sasa hivi hapo home maisha yameyumba kidogo... Ambayo ni kawaida na hasa kwa mwaka huu.
Sasa inabidi ujikaze kiume hata Kama unampenda for the sake of the kids. Ukimuendekeza kuwa anaondoka Kila Mara watakaoteseka Ni wanao sababu itawakosti Hadi shule.
So nakushauri ujikaze. Kata mawasiliano na yeye. Usimpigie, usimtext, mkaushie. Hela ya matumizi mtumie then kausha. Uchune kabisa. Akikupigia pokea lakini make it short na kuhusu watoto tu. Then kata na akipiga usipokee tena.
Kwao usiende eti kumfata arudi. Acha akae akili atarudi mwenyewe. Bahati nzuri watoto bado wadogo.
Mwanamke ganii unataka kumnyayansa mumeo kisa ameyumba kimaisha. Uchukue nguo alizokununulia kweli umpelekee Mamake mzazi? With no shame at all? Sio sahihi.
Man Up ndugu! For the sake of your kids. Weka mapenzi pembeni.
Kweli kabisa, kama hakuna usaliti wa kutisha ni muhimu apiganie ndoa yake...Pambana Mkuu usikubali kupoteza ndoa yako na watoto kirahisi rahisi hivyo. Kutofautina lugha kwa mume na mke si kitu cha ajabu lakini haiwi chanzo cha kufunga virago ili kuivunja ndoa hasa ukitilia maana ni bado unampenda mkeo na kutaka kuendelea na ndoa yenu. Huyo anatingisha kibiriti ili kuona kina unazidi upi. Tuhabarishe kinachoendelea
Pamoja na wewe ticha.. atarudi tu huyo anamchezea akili tuTicha heri ya mwaka mpya!
Je asiporudi afanyeje?
Anajua madhaifu yako.....Ni kweli nampenda nampenda sana ila watoto nawapenda zaidi iua mbali na wtoto ndio shida nimezoya nikiingia hapa baba baba leo nyumba iko kimya kama kaburi hebu vaaa kiatu changu useme kama ni ww ungefanyaje
Polee sanaaa mkuu...maombi yanahitajika apoBaba ma mama yake wameshatengana