Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Ukweli awali mama alikua hataki nimuowe ilifikia kumsusa ila baada ya kumuowa mke wangu alikua na bifu na mama yake ila mimi nikaona isiweshida nikafanya jitihada za kumuambia yule ni mama ake asimdharau nikamuelekeza basi wakawa si mama na mwaa ni kama marafiki maaana walikua karibu sana basi kumbe mama akiambiwa dogo la kwangu anamubia si nilikukataza na wife anaweka moyoni
Mimi siku zote humsamehe ila yeye hufutuka kuna siku alilalamika hana nguo nikamuambia nitakununulia mwisho wa mwezi kwani hali ya maisha sio sawa akalalamika nikamuambia mbona mambo yalipokua safi ulikua husemi nakununulia basi alisema nimemsumbulia na akavhukuq nguo zote nilizomnunuliq na kuzipeleka kwa mama angu kwangu lilikuq tusi kubwa ila nilimsamehe
Inabidi umtafute mama akiwa peke yake muyajenge, ikibidi andaa vitenge vya kutosha.
Ukiweka na kiasi cha kueleweka (cash) wife anarudi haraka sana.
Ila baada ya hapo inabidi wewe na huyo mama na mkeo muwe na ukaribu mzuri, ikibidi kila mwezi uwe na bajeti yake, hii itasababisha mama asimshauri mwanae kuondoka kwako, maana anafaidika na wewe.
Ila ukimkaushia ndo anakufanyia haya.
Basi Acha nikupe Hali halisi.Hana mimba mkuuu 100%
Duh! Kazi unayo Mkuu huyu ana kiburi cha hali ya juu na hana uvumilivu hata chembe. Jitahidi ila the future of your marriage is bleak.
Mimi siku zote humsamehe ila yeye hufutuka kuna siku alilalamika hana nguo nikamuambia nitakununulia mwisho wa mwezi kwani hali ya maisha sio sawa akalalamika nikamuambia mbona mambo yalipokua safi ulikua husemi nakununulia basi alisema nimemsumbulia na akavhukuq nguo zote nilizomnunuliq na kuzipeleka kwa mama angu kwangu lilikuq tusi kubwa ila nilimsamehe
Kiini cha tatizo ni hiki ulichoandika hapa.na mama niko na mashaka kua yuko shauri moja na mwanawe unajua wasichana kwa mama zai
Mkuu huo moyo unausingizia tu, we cheza na ubongo wako tu halafu jifunze kubalance shobo kwa mkeo.Inaaweza kua ni kweli ila moyo ulibidi umuamini kua atakua hifadhi yake ya milele ila mambo yamegeuka moyo wangu nahangaika nao
Basi Acha nikupe Hali halisi.
It seems sasa hivi hapo home maisha yameyumba kidogo... Ambayo ni kawaida na hasa kwa mwaka huu.
Sasa inabidi ujikaze kiume hata Kama unampenda for the sake of the kids. Ukimuendekeza kuwa anaondoka Kila Mara watakaoteseka Ni wanao sababu itawakosti Hadi shule.
So nakushauri ujikaze. Kata mawasiliano na yeye. Usimpigie, usimtext, mkaushie. Hela ya matumizi mtumie then kausha. Uchune kabisa. Akikupigia pokea lakini make it short na kuhusu watoto tu. Then kata na akipiga usipokee tena.
Kwao usiende eti kumfata arudi. Acha arie akili atarudi mwenyewe. Bahati nzuri watoto bado wadogo.
Mwanamke ganii unataka kumnyayansa mumeo kisa ameyumba kimaisha. Uchukue nguo alizokununulia kweli umpelekee Mamake mzazi? With no shame at all? Sio sahihi.
Man Up ndugu! For the sake of your kids. Weka mapenzi pembeni.
Kaka nimekuelew vizuri sana nitajaribu kiongozi
Mimi ni mama wa watoto wawili. Ndo maana nimeongea kwa hisia.Kaka nimekuelew vizuri sana nitajaribu kiongozi
achana nae maisha yakimgonga vzr atarudi..
mwanaume kuwa na msimamo
Mimi Ni Mama wa watoto wawili. Ndo Maana nimeongea kwa hisia.
Usiseme utajaribu, it's the only way out.
Mimi Ni Mama wa watoto wawili. Ndo Maana nimeongea kwa hisia.
Usiseme utajaribu, it's the only way out.
Whatever inayoendana na jinsia yangu.Kwa hiyo sisi tukuite mama au dada?
Je huyio ni mke wako wa ndoa? Au umechukuliana na kuzaana. ? Maswali yangu yana umuhimu katika uliotuandikia tukupe ushauri.Habari Waungwana
Najuwa apo watakaonibeza na kunidharau ila haya yalionikuta usiombe yakufike yasikie tuu kwa mwenzako maana mzigo wa mmwenzako ni polo la usufi.
Naamini hakuna mahusiano ambayo hayana Changamoto ila mengine Kiboko siku ya 30/12/2020 nimeachwa na mke wangu bila ya sababu ya msingi na kuondoka na watotot wangu 2 ambao mmoja yuko na miaka 5 na mwengine ni miaka 2 kwa hakika ni kua hakuna kosa la msingi tulipishana nalugha tuuu akanuna kwa siku 3 nikimpigia simu asubuhi hapokei na mimi nilikua safarini basi na mimi kama hakupokea simu humtumia sms na kumpigia tena siku itayoffuta asubuhi baada ya siku tatu nilisikia kutoka kwa ndugu wa familia kua mke wako anakunja vyombo nikajibu sawa ila baada ya muda alinitumia sms kua siku inayofuata atondoka na mimi sikujibu akanipigia simu akaniuliza hivi "kesho mimi naondoka mchana unataka nikuachie kitu gani chako nisikichukuwe" na mimi nikamjibu " niachie wanangu tuuu " akasea kua hatowaacha siku iliofuata nilifunga safari kurudi nyumbani saa 10 za jioni nilimkuta ameshavaa yeye na watoto kwa ajili ya safari nikamuita ndani na kumuliza kwa nini unaondoka akajibu kua nimemtolea jeuri nikamuambia basi yaishe akagoma na akaondoka na wanangu.
ndani amekunja nguo zake zote na za wanawe chumbani kawacha vvyombo tuuu kasema atakuja kufuata siku nyengine.
naomba ushauri wenu kwa hakika bado namuhitaji hasa siwezi kua mbali na wanangu wengine wanasema nimpotezee tuuu na watoto wakikua watanitafuta ila moyo wangu haukubali nimesema nimpelekee chakula maana kwao sio safi sana wengine wanasema nisimpelekee ili ajifunze maisha kwa hakika niko njiia panda usiku umekua mkubwa nipeni mawazo
natanguliza shukrani
All the best. Mlipoambiwa kuishi na sisi kwa akili Ni kwa sababu Muumba wetu anatujuaDada naufanyia kazi ushauri wako niombe dua ni kweli nilijiona nimefika ndio nikawa nazuzuka
Basi Acha nikupe Hali halisi.
It seems sasa hivi hapo home maisha yameyumba kidogo... Ambayo ni kawaida na hasa kwa mwaka huu.
Sasa inabidi ujikaze kiume hata Kama unampenda for the sake of the kids. Ukimuendekeza kuwa anaondoka Kila Mara watakaoteseka Ni wanao sababu itawakosti Hadi shule.
So nakushauri ujikaze. Kata mawasiliano na yeye. Usimpigie, usimtext, mkaushie. Hela ya matumizi mtumie then kausha. Uchune kabisa. Akikupigia pokea lakini make it short na kuhusu watoto tu. Then kata na akipiga usipokee tena.
Kwao usiende eti kumfata arudi. Acha akae akili atarudi mwenyewe. Bahati nzuri watoto bado wadogo.
Mwanamke ganii unataka kumnyayansa mumeo kisa ameyumba kimaisha. Uchukue nguo alizokununulia kweli umpelekee Mamake mzazi? With no shame at all? Sio sahihi.
Man Up ndugu! For the sake of your kids. Weka mapenzi pembeni.
Je Uo ni mke wako wa ndoa? Au umechukuliana na kuzaana. ? Maswali yangu yana umuhimu ktk uliotuandikia tukupe ushauri.