mahirtwahir
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 614
- 322
Kwa ulivyoandika hapo ni kwamba anakwenda kwao, ayway uzuri kwao unapaju fany kuwashirikisha watu wakubwa wenye kuheshimika kisha uitishe kikao msuluhishe.
madhara ya kumpenda kupita kiasi kisha akafahamu hilo
madhara ya kumpenda kupita kiasi kisha akafahamu hilo
Baba ma mama yake wameshatengana yeye kaenda kwa mama nimeshamueleza baba yake ila naona kanambia atashuhulikia ila kimya na mama niko na mashaka kua yuko shauri moja na mwanawe unajua wasichana kwa mama zai
Pambana Mkuu usikubali kupoteza ndoa yako na watoto kirahisi rahisi hivyo. Kutofautina lugha kwa mume na mke si kitu cha ajabu lakini haiwi chanzo cha kufunga virago ili kuivunja ndoa hasa ukitilia maana ni bado unampenda mkeo na kutaka kuendelea na ndoa yenu. Huyo anatingisha kibiriti ili kuona kina unazidi upi. Tuhabarishe kinachoendelea
Huu ndiyo msingi mkuu wa tatizo.
Nakubali ndio nikawa sina pa kushika wala pakishtaki wazeee hawaelewani ma nahofu tukitengana dhambi kama hii atakujaipata mwanangu si wazee wasema mtoto hufuata kichogo cha mlezi wake
Kwa hiki ulichoandika hii inamaanisha kuna mengi hujayaandika pia mkeo siyo rational.Mimi siku zote humsamehe ila yeye hufutuka kuna siku alilalamika hana nguo nikamuambia nitakununulia mwisho wa mwezi kwani hali ya maisha sio sawa akalalamika nikamuambia mbona mambo yalipokua safi ulikua husemi nakununulia basi alisema nimemsumbulia na akavhukuq nguo zote nilizomnunuliq na kuzipeleka kwa mama angu kwangu lilikuq tusi kubwa ila nilimsamehe
Naogopa kuandika ninachowaza, ila jaribu kuchunguza ukaribu wake na mama yake. Au anashauriwa nini na mama.
Kiafya siyo mzuri kwa ndoa yenu.
Kwa hiki ulichoandika hii inamaanisha kuna mengi hujayaandika pia mkeo siyo rational.
Anajua unampenda.
Anajua utaenda kumsaka.
Anajua saa hii utakua unalia.
Ungekua kaka yangu ningekuambia kua mwanaume achana naye ila wewe sikujui so nakushauri sikiliza moyo wako endelea kumlilia hivyo hivyo.
Huenda She's pregnant.
Mimba Zina visa Sana.
Mwanamke mwenye mtoto anaondoja anaenda wapi Hugo anatest maji tu, mkuu jaribu kuangalia kama umepunguza upendo kwa wife wako au kuna namna unamsumbua jilekebishe alafu MPE muda tu huko alipo watamchoka , mwache kidogo ajifunze dunia ilivyo kuna mambo huwa wanaona in rahisi rahisi sababu kuna mwanaume wakushugulikia we we tulia tu atarudisha majeshi huyo