Kwanini unamuamini Mungu

Namwamini Mungu kwa kuwa naamini maisha baada ya kufa mwili na nayahitaji maisha hayo, na kama hayapo kumwamini MUNGU kunaniepusha na mengi mabaya mabaya, yaani hakuna hasara
 
Mungu amenisaidia mengi ila kuna siku moja sitowahi kulisahau.

Nilishuhudia mungu akinijibu ndani ya dakika mbili.

Miaka iliyopita siku ya tukio nilikosa la kufanya sina wa kunisaidia kutatua tatizo gafla nilinyamaza kulia nikainua mikono yote nikasema "mungu wewe ndio unaejua kila kitu nakiacha mikononi mwako baba nisaidie" aiseee sijawahi ona miujiza ya namna ile yaan mungu alijibu palepale.

Wanasema mungu anajibu kwa kuchelewa aisee sio kweli. Nilichogundua ukiona mungu hajajibu palepale jua anajua una option so yupo busy nakuhudumia wenye shida kubwa anbayo hakuna option.
 
Basi uwe na heshima na adabu kwake... nadhani unajua tofauti kati ya mungu na Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…