Kwanini unaishi Dar es salaam?

Kwa nini mkuu unapimia ubovu wa Dar kwenye mitaa ya walalahoi? Sasa wewe mkuu ukaishi Tandale Kwa Mtogole halafu useme Dar yote mbovu? In short Dar ni kila kitu ni wewe tu na roho yako! Kila unakoangalia ni fursa tu!
 
Braza Kende utakuwa umejichanganya mahali! Kwani nwenyeji wako anaishi wapi? Na ana kazi gani hapa mjini?
 
Mkuu, akili zangu siku zote ziko juu na mtu mbumbumbu lazima atajichanganya tu kuongea nami because I am that special
Sawa, kumbe akili zako ziko juu, thats y am telling u next time make sure unatumia akil zilizoko kichwani, achana na hizo zilizoko juu
 
mtu anaishi chanika sijui mvuti ndanindani uko ila naye utamskia "unajua mi naishi Daa"
Chanika au Mvuti ni sehemu ziko Tunduma mkuu? Si ziko Dar sasa kwanini asiseme anaishi Dar au Dar imejengwa na mitaa na territories kutoka visiwa vya Madagascar..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…