Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 10,546
- 22,981
ongo yuve🤣,,za kunyumba...Hahaha kamwene mnoge ..
ongo yuve🤣,,za kunyumba...Hahaha kamwene mnoge ..
Wewe unaona pabaya kwa sababu uliishi Darsalam(Kwamtogole, Mburahati, Kwa bi Nyau, Kwamkunduge(Tandale), Kwa tumbo au uwanja wa Fisi, Kwamnyamani, Kisemvule). Lakini wale wanaoishi DAR(Masaki, Slipway, Penninsula, Oysterbay, Kenyatta Drive) hata hawalalamiki kama wewe. Ushauri wangu kwako. Tafuta pesa hakuna dagaa wa nyama. Dagaa ni dagaa😀😀😀Dar ni sehemu yenye raha nyingi kama kulivyo na karaha nyingi pia. Japo kwangu nikipima naona karaha ndio zimezidi.
Ni kawaida sana kukuta misururu ya foleni ya watu wakigombea usafiri tena unakuta ni mida mibovu kabisa. watu wanalundikwa kwenye daladala na mwendokasi utadhani ni bidhaa. hata km una usafiri binafsi foleni ni kila kona.
Ukitaka kuwahi sehemu ili uwahi asbh kwa mfano hospitali bac hakikisha unaamka mapema sana tena ikiwezekana saa nane uko au tisa usiku.
Hali ya usafi mitaani mitaa michafu, vyoo vya paspoti na kuwekwa mapipa chini, , mapusha na wateja wao wa madawa ya kulevya, wadangaji, chemba zilizowazi zinazochangia hewa chafu ni changamoto na kero zingine lundo. Licha ya haya yote kuna mtu humtoi nje Dar!
Sasa ndugu yangu wew nini hasa kinachokufanya ung'ang'anie kuishi mahali yenye karaha hivyo.
Mnaongangania kuishi huko niwajulishe tu nje ya Dar kuna maisha pia. Tena maisha yastress kabisa na kila kitu kinaenda sawa.
Kunywa UJI nalipaDar es salaam ni kama mikoa mingine tu, uzuri wa daslam hata ukiuza karanga zinatoka, sasa hapo Dodoma unamuuzia nani karanga? mbeya utaitegemea biashara ya karanga? si utakuwa mgonjwa, lakini daslam hizo karanga zimeongezewa thamani zinauzika na ni biashara kubwa tu.
Daslam Kuna magodown mengi kiasi kwamba kama una nguvu zako za kubeba mizigo hela hukosi na watu wameboresha maisha kwa njia hiyo, ukizungumzia changamoto kila sehemu kuna changamoto, huko mikoani ni kweli hakuna foleni lakini barabara ni mbovu kutoka wilaya moja kwenda wilaya nyingine, ni safari ya siku nzima, mfano tu kutoka Morogoro mjini kwenda wilaya ya Ulanga/Mahenge ni shughuli pevu, wakat hapa kutoka Ilala kwenda kibindoni unatembea kwa mguu
Mzunguko wa hela daslam ni mkubwa mno, yaani mtu kukupa msimbazi sio issue kubwa, mkoani mtu atakupa msimbazi kizembe bila kumtaarifu siku tatu kabla?

Siku tatu kabla mnyapaaa, aisee hilo la ten,ukija mitunduruni unajizolea mamitoghoo,mamungunya,sasati,Dar es salaam ni kama mikoa mingine tu, uzuri wa daslam hata ukiuza karanga zinatoka, sasa hapo Dodoma unamuuzia nani karanga? mbeya utaitegemea biashara ya karanga? si utakuwa mgonjwa, lakini daslam hizo karanga zimeongezewa thamani zinauzika na ni biashara kubwa tu.
Daslam Kuna magodown mengi kiasi kwamba kama una nguvu zako za kubeba mizigo hela hukosi na watu wameboresha maisha kwa njia hiyo, ukizungumzia changamoto kila sehemu kuna changamoto, huko mikoani ni kweli hakuna foleni lakini barabara ni mbovu kutoka wilaya moja kwenda wilaya nyingine, ni safari ya siku nzima, mfano tu kutoka Morogoro mjini kwenda wilaya ya Ulanga/Mahenge ni shughuli pevu, wakat hapa kutoka Ilala kwenda kibindoni unatembea kwa mguu
Mzunguko wa hela daslam ni mkubwa mno, yaani mtu kukupa msimbazi sio issue kubwa, mkoani mtu atakupa msimbazi kizembe bila kumtaarifu siku tatu kabla?
Sasa mbona mchele Dar es salaam ni bei rahisi kuliko Dodoma? Mbona Daslam maji yanapatikana kuliko Dodoma?Siku tatu kabla mnyapaaa, aisee hilo la ten,ukija mitunduruni unajizolea mamitoghoo,mamungunya,sasati,
Daslama ten nasikia unakula tu cha mchana na hapo haikutoshi kuweka japo mafuta ya gari
mzunguko wa pesa ni mkubwa,ila mateso ni mengi kuliko raha.....mtu anaamka saa 10 alfajiri kuwahi kazini anarudi nyumbani saa 6 mpaka 7 usiku hajaoga hajala anakuja kulala saa 8 kesho tena anaamka saa 10 lini atapata kutuliza akili wanaoishi maisha mazuri ni wenye pesa na sio wabangaizaji.

nakazia mkuuHaahaa utani wa ngumi huuNakaa dar kwasababu unga robo tunakula watu 9 mkoani ni ugali wa mtoto
Na usikute hakuna cha maana unachofanya hapo wala kufaidika kuishi hapo zaidi ya kuteseka na joto tu na kudangaI think my destiny is tied up in here
Chaos is a ladder,the climb is there all is, Dsm is a chaos.Dar ni sehemu yenye raha nyingi kama kulivyo na karaha nyingi pia. Japo kwangu nikipima naona karaha ndio zimezidi.
Ni kawaida sana kukuta misururu ya foleni ya watu wakigombea usafiri tena unakuta ni mida mibovu kabisa. watu wanalundikwa kwenye daladala na mwendokasi utadhani ni bidhaa. hata km una usafiri binafsi foleni ni kila kona.
Ukitaka kuwahi sehemu ili uwahi asbh kwa mfano hospitali bac hakikisha unaamka mapema sana tena ikiwezekana saa nane uko au tisa usiku.
Hali ya usafi mitaani mitaa michafu, vyoo vya paspoti na kuwekwa mapipa chini, , mapusha na wateja wao wa madawa ya kulevya, wadangaji, chemba zilizowazi zinazochangia hewa chafu ni changamoto na kero zingine lundo. Licha ya haya yote kuna mtu humtoi nje Dar!
Sasa ndugu yangu wew nini hasa kinachokufanya ung'ang'anie kuishi mahali yenye karaha hivyo.
Mnaongangania kuishi huko niwajulishe tu nje ya Dar kuna maisha pia. Tena maisha yastress kabisa na kila kitu kinaenda sawa.
Hata hukutakiwa kutumia nguvu kubwa namna hii chief.Na usikute hakuna cha maana unachofanya hapo wala kufaidika kuishi hapo zaidi ya kuteseka na joto tu na kudanga