Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,262
- 64,383
Vizuri, kujichanganya na wenye huzuni, wanawaza kukupiga mzinga.Kujichanganya na wenye furaha!
Yeah watu wa bar wana furaha, nasio wanafki, naona nyuzi za bar na pombe zimetaradadiKujichanganya na wenye furaha!
Bar kuna furaha bwana💃🏽Vizuri, kujichanganya na wenye huzuni, wanawaza kukupiga mzinga.
Sana huwezi patana na wanafki na sadist kule, kila mmoja anaacha mapepo yake nyumbani😊Yeah watu wa bar wana furaha, nasio wanafki, naona nyuzi za bar na pombe zimetaradadi
Pombe inaongea , kuna miaka fulani niliuziwa viatu elfu 60 bar vya kushoto vyoteSana huwezi patana na wanafki na sadist kule, kila mmoja anaacha mapepo yake nyumbani😊
Uwii umenikumbusha juzi nimenunua mimi pia vya kulia vyote aisee🤣Pombe inaongea , kuna miaka fulani niuziwa viatu elfu 60 bar vya kushoto vyote
Boya weweePombe inaongea , kuna miaka fulani niuziwa viatu elfu 60 bar vya kushoto vyote
Maisha mafupi, jitahidi uishi kwa furahaKujichanganya na wenye furaha!
Kwa pesa gani bwanawee!😅Ili kupata starehe
Hua naenda huko ili kufanya mahubiri ili Kondoo wapotevu wamrudie bwana.Je wewe, kwa nini unaenda bar na maeneo ya starehe?
Anaenda kukanyagia kluchi😁Kwa pesa gani bwanawee!😅